Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Angalia hapo juu nani alianza kuingiza hiyo lugha. Haijalishi, jua tu, ukitaka kuitumia hiyo sina tatizo.Tatizo la wabongo wakijua kimombo cha kuombea maji. Unajua wajibu wa waziri mwenye dhamana?
🤣😂😅 Unajua kusoma kiswahili? Kama hujui kaa kimya.Angalia hapo juu nani alianza kuingiza hiyo lugha. Haijalishi, jua tu, ukitaka kuitumia hiyo sina tatizo.
Waziri hajiteui kwenye nafasi hiyo; anamtumikia aliyemteua, na mteuzi akiona aliyemteua hakidhi maono yake anamwondoa mara moja.
Mbona hujamuhimiza ndugu yako awafute kazi kama wameshindwa kazi aliyowatuma?
Bado tu mpaka hapo huoni ukipofu wako? Halafu unakuja hapa kuhadaa watu na mada ya kinafiki.
Hivi nyungu inasaidia? Kama haisaidii waziri wa Afya na wizara yake wawe held accountable for misleading the nation, then waweke proper guidelines za kufuata kama nchi nyingine.
Hayo yanaihusu vipi mada hii?🤣😂😅 Unajua kusoma kiswahili? Kama hujui kaa kimya.
Kuandika kwenyewe hujui ...Wakati wa vita unapaswa kuwa kitu kimoja.vita ya uchumi kubwa kikosa umoja,tunatoa nafasi maadui kuwa winda viongozi wetu, ile biashara yao vaccine iendee. Biashara ya glove,ilidona,sanitizer ikadoda, barakoa ikadoda,dawa ikadoda.sasa ni biashara ya chanjo mungu walinde viongozi wetu
Chanjo inasaidia? Mbona watu bado wanakufa kwenye chanjo na wengine baada ya kupewa chanjo. Viongozi wao wawe held accountable pia?
okay you have two option;nyungu or chanjo, honestly what will you take...?
Mada ipo wazi na inaeleweka nashangaa unacircumvet.Hayo yanaihusu vipi mada hii?
Uzuri wake na inawachukua makada kina nyinyi
Elimu hii ni ya hovyo...Tanzani mnasona kuelimika tu kuondoa Giza na tongotongo machoni
Yaani mtu unajiita msomi Kwa kumeza mitaala?
Ni kawaida ya kenge ili ajue ameumia lazima damu zimtoke masikionicorona has almost zero impact on me! i amnot at risk kutokana na zile guidelines za WHO kuhusu corona! na naendelea na maisha kama kawaida na naenda kwenye mikusanyiko kama kawaida,
'circumvent'unacircumvet.
Tuwekee takwimu ulizoziona na kuhitimisha kama ulivyofanya mkuu ili na sisi tuzisome na kuzidadavua.Nyungu. So far hakuna njia bora kuliko nyingine, vifo bado vipo kwa watu wanaotumia either way.
Jiwe anachotakiwa ni kukazania watu wachukue tahadahari ila sio kwamba vifo vitaisha ghafla au chanjo itamaliza vifo cause hata amabao wapo on lockdown na kutumia chanjo bado wanapukutika.
Kukosea spelling ni ishu ndogo,acha kubwatuka. Mimi nihadae watu ili iweje? Acha kuzungukazunguka ujumbe umeshaupata.'circumvent'
kuiandika hujui; na maana yake huijui.
Ndio maana kila kitu unajipigia tu, huna lolote unalojua.
Unaanzisha mada kuhadaa watu, unapoambiwa ukweli unajifanya kupoteza lengo. Bure Kabisa.
Ningekuelewa kama ni 'spelling' tu, lakini hata matumizi ya neno hujui?Kukosea spelling ni ishu ndogo,acha kubwatuka. Mimi nihadae watu ili iweje? Acha kuzungukazunguka ujumbe umeshaupata.
Tuwekee takwimu ulizoziona na kuhitimisha kama ulivyofanya mkuu ili na sisi tuzisome na kuzidadavua.
Tatizo la JF ni kwamba kila mtu anatoka kivyake tu, bila hata ya kuwa na ushahidi wowote wa maana.
Watu wanavimbishiana mishipa wee, hata kama hawana ufahamu mzuri wa mambo wanayoyaongelea.
Sijui takwimu za nyungu zimetoka wapi. Najua za chanjo zinavyopatikana na zipo ukitafuta ili ujiridhishe mwenyewe juu yake, na zinaelezeka kisayansi, badala ya kukisia au kuhisi tu.