Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Rais asilaumiwe sana maana yeye si mtaalamu. Wataalamu wanapaswa kusimamai taaluma yao. Tatizo ni kuwa hawa mnaowaita maDr. kwa sasa 'taaluma' yao ni siasa siyo uDr. wao.
Ongezeni za mbayuwayu
 
Tatizo la wabongo wakijua kimombo cha kuombea maji. Unajua wajibu wa waziri mwenye dhamana?
Angalia hapo juu nani alianza kuingiza hiyo lugha. Haijalishi, jua tu, ukitaka kuitumia hiyo sina tatizo.

Waziri hajiteui kwenye nafasi hiyo; anamtumikia aliyemteua, na mteuzi akiona aliyemteua hakidhi maono yake anamwondoa mara moja.

Mbona hujamuhimiza ndugu yako awafute kazi kama wameshindwa kazi aliyowatuma?

Bado tu mpaka hapo huoni ukipofu wako? Halafu unakuja hapa kuhadaa watu na mada ya kinafiki.
 
🤣😂😅 Unajua kusoma kiswahili? Kama hujui kaa kimya.
 
Hivi nyungu inasaidia? Kama haisaidii waziri wa Afya na wizara yake wawe held accountable for misleading the nation, then waweke proper guidelines za kufuata kama nchi nyingine.

Chanjo inasaidia? Mbona watu bado wanakufa kwenye chanjo na wengine baada ya kupewa chanjo. Viongozi wao wawe held accountable pia?
 
Wakati wa vita unapaswa kuwa kitu kimoja. Vita ya uchumi kubwa kikosa umoja,tunatoa nafasi maadui kuwa winda viongozi wetu, ile biashara yao vaccine iendee. Biashara ya glove, ilidona, sanitizer ikadoda, barakoa ikadoda, dawa ikadoda. Sasa ni biashara ya chanjo Mungu walinde viongozi wetu
 
Wakati wa vita unapaswa kuwa kitu kimoja.vita ya uchumi kubwa kikosa umoja,tunatoa nafasi maadui kuwa winda viongozi wetu, ile biashara yao vaccine iendee. Biashara ya glove,ilidona,sanitizer ikadoda, barakoa ikadoda,dawa ikadoda.sasa ni biashara ya chanjo mungu walinde viongozi wetu
Kuandika kwenyewe hujui ...
Uwe wamoja na nani?we pimbi nini.....hapa kila mtu apambane kivyake.....
Magufuli kaleta balaa kubwa....
 
Chanjo inasaidia? Mbona watu bado wanakufa kwenye chanjo na wengine baada ya kupewa chanjo. Viongozi wao wawe held accountable pia?

Okay you have two option: nyungu or chanjo, honestly what will you take...?
 
okay you have two option;nyungu or chanjo, honestly what will you take...?

Nyungu. So far hakuna njia bora kuliko nyingine, vifo bado vipo kwa watu wanaotumia either way.

Jiwe anachotakiwa ni kukazania watu wachukue tahadahari ila sio kwamba vifo vitaisha ghafla au chanjo itamaliza vifo cause hata amabao wapo on lockdown na kutumia chanjo bado wanapukutika.
 
Tanzania mnasona kuelimika tu kuondoa Giza na tongotongo machoni

Yaani mtu unajiita msomi kwa kumeza mitaala?
 
Uzuri wake na inawachukua makada kina nyinyi

Corona has almost zero impact on me! I am not at risk kutokana na zile guidelines za WHO kuhusu corona! Na naendelea na maisha kama kawaida na naenda kwenye mikusanyiko kama kawaida
 
Tanzani mnasona kuelimika tu kuondoa Giza na tongotongo machoni

Yaani mtu unajiita msomi Kwa kumeza mitaala?
Elimu hii ni ya hovyo...
Na watoa elimu wamelijua hilo hawatakubali kamwe watoto kupimwa kwa uelewa na uwezo wa kutafsiri elimu yao kwa matendo.. maana kumjengea mtoto maarifa ya uwezo huo ni kazi pevu, na inahitaji kujitoa na uvumilivu..

Wafanya biashara wa elimu wamewekewa njia rahisi kabisa, soma haya, kariri, shusha kwenye mtihani kama utaweza kuyakumbuka ..pata Misonge nenda zako. Unashangaa bright kid A+ student anakutana na C student wa mataifa mengine kwenye performance anashindwa.. pamoja na Misonge yake.
 
corona has almost zero impact on me! i amnot at risk kutokana na zile guidelines za WHO kuhusu corona! na naendelea na maisha kama kawaida na naenda kwenye mikusanyiko kama kawaida,
Ni kawaida ya kenge ili ajue ameumia lazima damu zimtoke masikioni
 
Wote tunajua kuna covid waseme nini selikal ili covid iishe?

Kila mmoja achukue tahadhar sio mpaka tuambiwe anfya ni yangu yako ni yako

Unajipenda chukua tahadhar
 
Nyungu. So far hakuna njia bora kuliko nyingine, vifo bado vipo kwa watu wanaotumia either way.

Jiwe anachotakiwa ni kukazania watu wachukue tahadahari ila sio kwamba vifo vitaisha ghafla au chanjo itamaliza vifo cause hata amabao wapo on lockdown na kutumia chanjo bado wanapukutika.
Tuwekee takwimu ulizoziona na kuhitimisha kama ulivyofanya mkuu ili na sisi tuzisome na kuzidadavua.

Tatizo la JF ni kwamba kila mtu anatoka kivyake tu, bila hata ya kuwa na ushahidi wowote wa maana.

Watu wanavimbishiana mishipa wee, hata kama hawana ufahamu mzuri wa mambo wanayoyaongelea.

Sijui takwimu za nyungu zimetoka wapi. Najua za chanjo zinavyopatikana na zipo ukitafuta ili ujiridhishe mwenyewe juu yake, na zinaelezeka kisayansi, badala ya kukisia au kuhisi tu.
 
'circumvent'

kuiandika hujui; na maana yake huijui.

Ndio maana kila kitu unajipigia tu, huna lolote unalojua.

Unaanzisha mada kuhadaa watu, unapoambiwa ukweli unajifanya kupoteza lengo. Bure Kabisa.
Kukosea spelling ni ishu ndogo,acha kubwatuka. Mimi nihadae watu ili iweje? Acha kuzungukazunguka ujumbe umeshaupata.
 
Tuwekee takwimu ulizoziona na kuhitimisha kama ulivyofanya mkuu ili na sisi tuzisome na kuzidadavua.

Tatizo la JF ni kwamba kila mtu anatoka kivyake tu, bila hata ya kuwa na ushahidi wowote wa maana.

Watu wanavimbishiana mishipa wee, hata kama hawana ufahamu mzuri wa mambo wanayoyaongelea.

Sijui takwimu za nyungu zimetoka wapi. Najua za chanjo zinavyopatikana na zipo ukitafuta ili ujiridhishe mwenyewe juu yake, na zinaelezeka kisayansi, badala ya kukisia au kuhisi tu.

Wote bado wanakata kamba tu; watumia chanjo, nyungu na wasiotumia kitu.

Sahizi the best defense ni kuchukua tahadhari tu ila zingine zote bado ni bahati nasibu.
 
Back
Top Bottom