Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Kuamini kua wizara ya afya wanafanya wanayo fanya bila ruhusa ya alfa na omega wa tanganyika, ni matumizi mabaya ya akili.
Huyo mwenyewe mleta uzi alikuwa ni mmoja ya watu walio kuwa wanasherehekea tangazo la kutumia nyungu .

Alishiriki kwa 100% kuwananga wapinzani waliosema kuwa Tanzania kuna korona.

Leo hii amegundua kuwa alidanganywa!
 
Inahitaji ujasiri kufanya hivyo, ambao si kila mtu anao. Sasa hivi hata kutamka Corona wanaogopa. Wamebaki kuiita pneumonia utadhani umeanza Jana wakati ipo miaka yote.
 
INterestingly,Hii stori karibu ingefanana na ya Pharaoh na Musa.Just the scenarios are different but the approach is the same.Kukataa ujumbe wa Manabii(Wanasayansi/Wataalam)
 
Mbunge wa Bunge lipi?
 
We changu we aliowateu naye hatufai, kwanza hamtambui aliiba kura
 
When was that? Kipindi mnalazimisha total lockdown?
Endeleeni kufanya sherehe maana mlichokusudia sasa kinatimia ila mjue kuwa hilo dudu halina huruma na ni kipofu so linapiga tu bila kuangalia itikadi ya mtu wala rangi yake wala cheo chake wala anatoka mkoa gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…