Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mpuuzi ni wewe bendera ufuata upepo.Achana na mpuuzi huyu.
Leo naona unaona speed imekugusa ndiyo unaanza kuwaangushia jumba bovu hao madaktari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi ni wewe bendera ufuata upepo.Achana na mpuuzi huyu.
We hujui?
🙏Mpuuzi ni wewe bendera ufuata upepo.
Leo naona unaona speed imekugusa ndiyo unaanza kuwaangushia jumba bovu hao madaktari?
Covid 19 ni sawa na magonjwa mengine?Mimi sioni kosa Lao.
Maana Corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Na Kula SIKU watu wanakufa na hayo magonjwa
Huyo mwenyewe mleta uzi alikuwa ni mmoja ya watu walio kuwa wanasherehekea tangazo la kutumia nyungu .Kuamini kua wizara ya afya wanafanya wanayo fanya bila ruhusa ya alfa na omega wa tanganyika, ni matumizi mabaya ya akili.
Inahitaji ujasiri kufanya hivyo, ambao si kila mtu anao. Sasa hivi hata kutamka Corona wanaogopa. Wamebaki kuiita pneumonia utadhani umeanza Jana wakati ipo miaka yote.Kwanini tusijifunze kwa Dr Faistine Ndugulile? Yeye Kama mtaalamu wa Virology na immunology na huku Ni Naibu Waziri wa Afya alijitenga na UWONGO. Akijibu swali bungeni aliponda sana njia ya NYUNGU kuwa Ni hatari na akasema ndiyo ilimponza Mbunge Ndassa wa Sumve hadi umauti. Baada ya japo Magufuli akamtoa kwenye Baraza.
Lakini kwenye Baraza jipya kawa FULL Minister wa Mawasiliano.
Ukiamua kumsimamia ukweli bila kujali tumbo lako INAWEZEKANA
Covid 19 ni sawa na magonjwa mengine?
Mlivyokuwa mnawadhihiaki na kuwakashifu wapinzani kwa kusema kuwa kuna korona nchini hamkujua kuwa korona ni hatari?Covid 19 ni sawa na magonjwa mengine?
INterestingly,Hii stori karibu ingefanana na ya Pharaoh na Musa.Just the scenarios are different but the approach is the same.Kukataa ujumbe wa Manabii(Wanasayansi/Wataalam)Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Unafiki unaliangamiza hili taifaHuyo mwenyewe mleta uzi alikuwa ni mmoja ya watu walio kuwa wanasherehekea tangazo la kutumia nyungu .
Alishiriki kwa 100% kuwananga wapinzani waliosema kuwa Tanzania kuna korona.
Leo hii amegundua kuwa alidanganywa!
Mbunge wa Bunge lipi?Uzuri wa ugonjwa huu hauchagui, hauangalii cheo cha mtu, wala nafasi yake katika jamii. Tukipuuza kila kitu tutadonka mmoja baada ya mwingine!. Ajitokeze mbunge mmoja apeleke hoja binafsi bungeni kuhusu janga la Korona ili hatua stahiki zichukuliwe kunusuru maisha ya watu!
When was that? Kipindi mnalazimisha total lockdown?Mlivyokuwa mnawadhihiaki na kuwakashifu wapinzani kwa kusema kuwa kuna korona nchini hamkujua kuwa korona ni hatari?
Kilichomkuta......Mbona Ndugulile alisema ukweli?
Sahihi kabisa ,wanafurahi sana kuona watanzania wanavyo teketea kila kukichaUnafiki unaliangamiza hili taifa
We changu we aliowateu naye hatufai, kwanza hamtambui aliiba kuraWana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
bila shaka umejiweka lockdown mpaka mda huuMbaya kivipi? Mh. Rais amesema hakuna covid nchini, ipo chache, ipo kidogo😂😂😂
vp umejiweka lockdown tayar?Sahihi kabisa ,wanafurahi sana kuona watanzania wanavyo teketea kila kukicha
Endeleeni kufanya sherehe maana mlichokusudia sasa kinatimia ila mjue kuwa hilo dudu halina huruma na ni kipofu so linapiga tu bila kuangalia itikadi ya mtu wala rangi yake wala cheo chake wala anatoka mkoa gani.When was that? Kipindi mnalazimisha total lockdown?