Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Upotolo ni babakoutopolo bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upotolo ni babakoutopolo bana
Kibwetere wakubwa nyinyiutopolo bana
Kwahiyo unashauri tujifukizie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sahihi kabisa njia Bora ya kutokomeza huu ugonjwa ni haohao Mabeberu waliouleta waamue usiwepo ila ni ngumu kuisha kwa kuvaa barakoa na kujifungia ndani tumuunge mkono muheshimiwa Rais yupo sahihi.
Ndio tujifukize pamoja na kula matunda na dawa za asili zenye kuongeza kinga za mwili au zinazotibu matatizo kama hayo ya upumuaji sababu Corona haina dawa bado ukikataa dawa za asili utatumia nini kama Tiba?Kwahiyo unashauri tujifukizie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mkuu kuna dawa yoyote inayoponesha?Kweli kabisa ifike mahali tuwe tunashtaki watu kwa uzembe wao pale wanaposababisha vifo kwakuzembea utaalamu na kuficha taarifa sahihi.
Marne hii tuongozane kiukweli na kisomi sio kama enzi za kinjekitile. Daktari mzima umesoma na kodi zetu unakaa na mwanasheria tuliosomesha mnatuelekeza kujifusha itaponesha corona kweli?? Dunia nzima wasijifushe wapone nisisi tuu? Kuna uthibitisho gani wa kitaalamu kuwa kujifusha kunaponesha?? Tusileteane maujinga tafadhali
punguzen matumiz ya air coditiona kwene magar na oficin tegenezen mfumo wa mwili kupata jotoWana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Field Marshall Dr Doroty Gwajima.
Ngebe yoote itaishaaa
Yeye ndio angefanya nini, na aliwahi kufanya nini? Nawashangaa sana wanaoamini utendaji wa hawa mawaziri.Ummy Mwalimu unahitajika huku
Waleko mushilamuuu...Salaam aleikumuuu....
Nini kimekupata boss...Usibishane na Rais...nchi ipo salama achana propaganda za mabeberuWana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
We Ndungulile, hebu muogope Mungu! Ndio maana ulikuwa umelitoa jicho kuhesabu kura za Makonda!Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Kuna chanjo na tahadhari za maana zakuchukua mkuu,vp wamesimamia hilo??Kwani mkuu kuna dawa yoyote inayoponesha?
Hakuna Mbunge wa kuja na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Rais, wabunge wote naamini kabisa wamepata Ubunge kwa HISANI na NGUVU ya wizi ya Rais + wale COVID19.Alietoa "ORDER YA KUTOKUWEPO COVID-19 TANZANIA" ni Rais, yeye ndio wa kulaumiwa kwanza kabla ya Waziri, halafu ndio hao watendaji wengine wote wafuatie mpaka Wakuu Wa Mikoa (Mfano Mama Anna). Wakifuatiwa na Ma Mayor (Yule aliowavua barakoa wenzake kwenye kikao na yule aliosema hakuna Corona ni vita ya kiuchumi pindi shule ya ISM ilipotangaza wanafunzi wake kukutwa na kirusi).
Ingekuwa nchi nyingine, basi Wabunge haraka wangempigia "KURA YA KUTOKUA NA IMANI NA RAIS" na angeng'olewa madarakani hata kabla ya maafa haya kutufika watanzania. Ila kwa nchi yetu yenye "MAZUZU NA WENDAWAZIMU NA VIUMBE WENYE TAMAA" bungeni ndio kwanza wabunge wanataka "AONGEZEWE MUDA".
Nchi yetu kila kitu kina kwenda kinyume nyume, cha ajabu watendaji wa serikali wanaona nchi inakwenda mbele.
Hii nchi inatia aibu sana.
Alie toa ushauri wa kitaalamu alifukuzwa kazi, waliopo wameji-tune, wanaenda na mtimizie kafiri upate mradi wako.Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Inakusanya kodi na inawajibu. Lazima ipigiwe kelele. Kama haitaki kelele za sisi tulioiweka ijiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu wake. Simple.sasa kelele za nn serikalini?