Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

rubbish, ndo maaana ccm itaendelea kuwepo miaka 100
Labda baba yenu akubali uwepo wa korona na kuchukua hatua, vinginginevyo kwa kasi hii ya kupukutika kwa makada wakuu, hata miaka miwili ijayo CCM haifikishi. Kilangila.
 
ndo maaana ya kutokua kwenye risk, au huelewi ndo maaana kuna wanaoumwa wanapona, na kuna wengine itawapata kawaida lakini hawatapata effects zozote ama signs na watapona bila wao kujua!
Jiandae maana ipo nawe
 
nlishawahi enda kwenye kampeni moja tu na ilikua ya lowasa kipindi kahamia upande wa pili na nlichokua naskia ni pipoz pipoz tu! toka hapo sina ham tena na upinzani wa nchi hii, na mapungufu ya ccm ila bado wana afadhali mara 1000 na ndo nmehamia mazima

Suala ni unanufaika vipi na utawala wa CCM, jikite hapo tu acha porojo!
 
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Watanzania acheni niwaibie siri, sisi huku kenya huwa tunafikiria saana kabla ya kufanya mambo... na rais wetu huwa anawapa wataalamu mbali mbali heshima na nafasi ya kufanya kazi yao.,,,Wakati wote wa 2020 rais wetu alikuwa anawaskia sana wataalamu na kufata bila kusita ushauri wote waLlio toa wataalamu hao. wakati huo tz ilitukejeli sana nakutuona sisi kama watu wa kuiga mambo ya kizungu tu.
mnaangushwa na viongozi wenu...
 
hata mbowe angekua president serikali ni zile zile, yaaani wewe umetuliza mwili huo unasubiria serikali ikufanyie nn kwa mfano? ikishatunga sheria za nchi na kuhakikisha usalama wa nchi thats all you need
 
Jiandae maana ipo nawe

sio corona tu kuna malaria pia, kuna cancer kuna kisukari na ndo hulka ya binadam matatizo, probably i think i must have goten corona somewhere already but haikunidhuru
 
Labda baba yenu akubali uwepo wa korona na kuchukua hatua, vinginginevyo kwa kasi hii ya kupukutika kwa makada wakuu, hata miaka miwili ijayo CCM haifikishi. Kilangila.

si alishasema mchukue tahadhari ama hukuskia? hii nchi bana sjui tutaendelea lini, afya ni ya kwako unasubiria serikali????? ndo tumefikia apa kama nchi
 
Watanzania acheni niwaibie siri, sisi huku kenya huwa tunafikiria saana kabla ya kufanya mambo... na rais wetu huwa anawapa wataalamu mbali mbali heshima na nafasi ya kufanya kazi yao.,,,Wakati wote wa 2020 rais wetu alikuwa anawaskia sana wataalamu na kufata bila kusita ushauri wote waLlio toa wataalamu hao. wakati huo tz ilitukejeli sana nakutuona sisi kama watu wa kuiga mambo ya kizungu tu.
mnaangushwa na viongozi wenu...

aiseee kuna vituko vingine apa
 
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Kuna mtu kagoma kabisa kukakubali haka ka ugonjwa kama kapo, sasa wacha katufyeke; mdogo mdogo tu tutaelewana....
 
Utashangaa sana maana katika utawala huu kunamengi yakushangaa nakila unaposhangaa kunawatu ndio wanakushangaa ww na mm tusaidiane kushangaa hahaahahhaa
 
Kuna mtu kagoma kabisa kukakubali haka ka ugonjwa kama kapo, sasa wacha katufyeke; mdogo mdogo tu tutaelewana....

akishakubali ndo kataondoka ama? vp marekani bado hawajakubali tu huo ugonjwa upo?
 
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
chagu wa malunde hata waliotafiti na kuja na COVIDOL na NIMRCAF ni watumishi wa umma nao wanatakiwa wawajibishwe kwa kuaminisha umma kuwa Juice ya pilipili, malimao, vitunguu na tangawizi inatibu CORONA
 
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Kati ya watu wa hovyo, wewe ni mmoja wapo.

Nasema hivyo kwa sababu misimamo yako uliyoionyesha humu JF tokea huko nyuma inajulikana.

Kwa nini sasa uwatake watu ambao hawana mamlaka yoyote juu ya huyo unayesema wanamshauri, ndio uwabebeshe lawama na kumwacha anayestahili lawama hizo!

Unamsifu Dr Faustine Ndungulile kwa msimamo wake, hujui kilichomtokea kwa kuwa kinyume na mawazo ya huyo unayemkingia lawama?

Kwani yeye huwezi kumsihi aondoke ili nchi ipone?
 
Back
Top Bottom