Labda baba yenu akubali uwepo wa korona na kuchukua hatua, vinginginevyo kwa kasi hii ya kupukutika kwa makada wakuu, hata miaka miwili ijayo CCM haifikishi. Kilangila.rubbish, ndo maaana ccm itaendelea kuwepo miaka 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda baba yenu akubali uwepo wa korona na kuchukua hatua, vinginginevyo kwa kasi hii ya kupukutika kwa makada wakuu, hata miaka miwili ijayo CCM haifikishi. Kilangila.rubbish, ndo maaana ccm itaendelea kuwepo miaka 100
Jiandae maana ipo nawendo maaana ya kutokua kwenye risk, au huelewi ndo maaana kuna wanaoumwa wanapona, na kuna wengine itawapata kawaida lakini hawatapata effects zozote ama signs na watapona bila wao kujua!
Hahahaaa unazngua jombaaNa kirusi cha sasa kinapatikana hadi kwenye haja kubwa
Sijui tutatokea wapi
Yani ukipumua juu kipi chini kipo [emoji848]
nlishawahi enda kwenye kampeni moja tu na ilikua ya lowasa kipindi kahamia upande wa pili na nlichokua naskia ni pipoz pipoz tu! toka hapo sina ham tena na upinzani wa nchi hii, na mapungufu ya ccm ila bado wana afadhali mara 1000 na ndo nmehamia mazima
Prof Makubi naye bwanaaaa
Watanzania acheni niwaibie siri, sisi huku kenya huwa tunafikiria saana kabla ya kufanya mambo... na rais wetu huwa anawapa wataalamu mbali mbali heshima na nafasi ya kufanya kazi yao.,,,Wakati wote wa 2020 rais wetu alikuwa anawaskia sana wataalamu na kufata bila kusita ushauri wote waLlio toa wataalamu hao. wakati huo tz ilitukejeli sana nakutuona sisi kama watu wa kuiga mambo ya kizungu tu.Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Suala ni unanufaika vipi na utawala wa CCM, jikite hapo tu acha porojo!
Jiandae maana ipo nawe
Labda baba yenu akubali uwepo wa korona na kuchukua hatua, vinginginevyo kwa kasi hii ya kupukutika kwa makada wakuu, hata miaka miwili ijayo CCM haifikishi. Kilangila.
Nimeona tujadili na hili piaUmekosea njia mkuu,hapa hatujadili masuala ya chama chochote
Watanzania acheni niwaibie siri, sisi huku kenya huwa tunafikiria saana kabla ya kufanya mambo... na rais wetu huwa anawapa wataalamu mbali mbali heshima na nafasi ya kufanya kazi yao.,,,Wakati wote wa 2020 rais wetu alikuwa anawaskia sana wataalamu na kufata bila kusita ushauri wote waLlio toa wataalamu hao. wakati huo tz ilitukejeli sana nakutuona sisi kama watu wa kuiga mambo ya kizungu tu.
mnaangushwa na viongozi wenu...
Kuna mtu kagoma kabisa kukakubali haka ka ugonjwa kama kapo, sasa wacha katufyeke; mdogo mdogo tu tutaelewana....Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Utashangaa sana maana katika utawala huu kunamengi yakushangaa nakila unaposhangaa kunawatu ndio wanakushangaa ww na mm tusaidiane kushangaa hahaahahhaaWana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Kuna mtu kagoma kabisa kukakubali haka ka ugonjwa kama kapo, sasa wacha katufyeke; mdogo mdogo tu tutaelewana....
Acha ujinga, Rais ana nafasi kubwa mno kwenye jambo hili.akishakubali ndo kataondoka ama? vp marekani bado hawajakubali tu huo ugonjwa upo?
chagu wa malunde hata waliotafiti na kuja na COVIDOL na NIMRCAF ni watumishi wa umma nao wanatakiwa wawajibishwe kwa kuaminisha umma kuwa Juice ya pilipili, malimao, vitunguu na tangawizi inatibu CORONAWana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.
Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?
Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.
Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Kati ya watu wa hovyo, wewe ni mmoja wapo.Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Acha ujinga, Rais ana nafasi kubwa mno kwenye jambo hili.
Sasa kama ni janga la korona, linaingilianaje na kufukuzwa kwa mawaziriii?? Acha uzwazwa wa chuki binafsiWewe zwazwa kafungue uzi wako wa vyama hapa mjadala ni janga la Corona.