Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

*Katiba mpya
*Kuacha misifa ya kutumbua viongozi majukwaani
*Kuwapa wafanyakazi stahiki zao za nyongeza ya mishahara za miaka yote mitano
Hapo kwenye katiba mpya kwa hakika ikishabadilika JELA zitajaaa watu.
 
CHADEMA Ni SERIKALI? NAJUA CHADEMA NI CHAMA.KAMA WALIKUBALIANA ADHABU NI HIYO KWA WASALITI LAZIMA ITEKELEZWE, NI KAMA CCM WALIVYOMTOSA MBOBEZ MEMBE MAMBO YA VYAMA..

hahaha kwahio chadema nzima imeamua kuwafukuza kisa wameenda bungeni? kwahio chama kizima hakuna demokrasia basi, una la nyongeza?
 
1. Arudishe mabombadier yote aliyonunua magu kwa cash, pesa zetu.
2. Simba wetu aliochukua Serengeti na mwingine kupeleka burigi chato warudishwe kwenye makazi yao ya asili.
3. Uwanja wa ndege chato na traffic lights, magufuli afikishwe mahakamani kujibu shutuma maana ni ufisadi.
4. Magufuli na makonda wafikishwe mahakamani kujibu shutuma kuhusu kutekwa tekwa kwa watu na kupotea kwa watu kama Ben Saanane na kupigwa risasi Tundu Lissu.
5. Ccm wawajibishwe kwa kupakia watu kwenye mafuso kama vile ni mizigo katika ujinga wao wa kutaka kujaza nyomi fake kwenye kampeni zao.
 
Wasiojulikana wapatikane au akamatwe Magu, Siro na Diwani
 
Sawa.
 
Umewauliza swali gumu sana Vibendera
Na ngojea uone kama kuna mwenye jambo la Maana toafuti na Ukibendera wao tu
Yaani Magufuli Ashindwe na Lisu kabisa Hizo ni Ndoto za Kichaa
******** hashindwi na Lissu..anashindwa na Watanzania wazawa..Xenophobia
 
hahaha kwahio chadema nzima imeamua kuwafukuza kisa wameenda bungeni? kwahio chama kizima hakuna demokrasia basi, una la nyongeza?
"AKILI NDOGO IKITAWALA AKILI KUBWA NIMMATATIZO* MADINI KWENYE SHIKINGI 100 MNACHUKUA SH 4.WANACHIMBA MADINI MIAKA 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…