Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Kwahiyo kumbe desemba maofisi ya serikali yakifungwa miti na majani na taa za kubwinya bwinya ni udini? Manake hatujaona wakifunga kwenye siku za idi

Wacha udini utakonda sana
 
Ulitaka waweke picha ya yule jamaa alitundikwa msalabani akiwa uchi
 
Umejuaje kuwa awafungi kutoka moyoni?chuki ni mbaya kuliko ukimwi
 
Hebu lete mchoro kama huo,unaohusu kwaresma.Halafu si mnasema mwafanya ibada kiroho sio kimwili,sasa vipi upewe pongezi za kimwili?.Waislamu wanafanya ibada kiroho na kimwili,ndio ukaona wanapewa pongezi kimwili na kiroho.
[emoji3581]
 
Sasa achana na yanga na Simba mimi nafatilia EPL,Laliga kipindi kwaresma inaanza hawakupost chochote ila Leo na jana Klabu zote Man U,city,Madrid n.k wotee wamepost Ramadan kareem JE NA WAO NI WADINI??
Ramadhani inafahamika ulimwenguni kwaresma nihapa bongo tu
 
Kwahiyo kumbe desemba maofisi ya serikali yakifungwa miti na majani na taa za kubwinya bwinya ni udini? Manake hatujaona wakifunga kwenye siku za idi

Wacha udini utakonda sana
Skuizi mna chuki ata kututakia tu heri ya sikukuu mnaona nongwa utadhani ndio mmebatizwa🤣 Ila sisi wala!
 
Heti Miaka ya nyuma akuwepo viashiria via kidini uongo mtupu kazi yenu kulialiatu,serikali ibapo pumzika juma mosi na juma pili wanao enda kuabudu siku hizo ni waisilamu au wakiristo?sikukuu zote za kikiristo maofisi yote ya serikali upwambwa kwa gharama ya serikali wewe ni miongoni mwa wakiristo wajinga sana
 
Siku 40 mnafunga[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
mkiguswa kuwa mnaleta udini mpaka sehemu za umma hamuachwi kutoa povu. Acheni udini
 
MANCHESTER UTD, BARCA, LIVERPOOL, AC MILAN, REAL MADRID kama umeona wametoa heri ya Kwaresma niite mbwa nimekaa paleeeeee.

Wakristo mnaichukulia KWARESMA kama kitu cha kawaida na hamkipi uzito kuzidi BIRTHDAY YA YESU na KIFO cha YESU.
Kwaresma inafahamika tz tu msungu na hayo mambo wapinawapi
 
Huyo mzee alikuwa muongo alie weka mfumo wa serikali kupumzika siku ya j 2 na j mosi nani?na hizo siku watu wagani wanatumia siku hizo kuabudu?uliwa kujiuliza kwa nini watumishi wa umma wengi wao ni wakiristo?waisilamu wanavumilia mengi kutoka kwenu
 
kama sisi wakristo wenyewe hatuizingatii kwanini wao waizingatie, Krwarezma bado tunakula bia asubuh had Jion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…