Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Sensa umefanya lini?
 
Maneno kibao lakin ni porojo tu acha bangi narudia

Wewe kime kuuma nini yanga na simba kuwish ramadhani wakati timu nyingi duniani zimewish

Alafu unaleta porojo

Kwani wewe mkatolik kama sio kimekuuma nini mpuuzi mmoja wewe

Alafu lnesha mahala nimesema kwaresma ina fungwa na wakristo wote duniani
Yani mnataka watu wa wish kitu ambacho nyie wenyewe mnamashaka nacho si upumbavu huo
 
Hawafungi wale, ni mwezi kulakulaa, focus ni kula kula tu ndio maana ata bei ya vyakula hupanda. Wapo kimsosi zaidi sio kiroho.
Ila misosi ndo wanaifaidi kwakweli, dhana ya mfungo wa waislam na wakristo ni tofauti kabisa kabisa.
 
KAFIRI wewe
 
Iko hivi

Waislam wengi wanajali siku za mwezi wa mfungo wa ramadhan wanaoita mwezi mtukufu, lakini wanafunga kwa Mazoea wala hawabadiliki

Kwa mfano, Mtu anajizuia kula kuanzia asubuhi mpaka saa 12 jioni kisha akifungua tu anaanza na sigara

Binti unamtongoza anakukubalia lakini anakuambia subiri mwezi mtukufu ukiisha ndio akupe mzigo

Sasa huyu amefunga au anamchezea Mwenyezi Mungu na kuidanganya nafsi yake mwenyewe?

Wapo Wakristo wanaofunga seriously (na hawali daku) ila hawasemi, na wanaomba vizuri tu.
 
Wakristo hatujali sana,na wala hatuna muda wa kufuatilia hayo mambo
 
Kitu Cha kufahamu wewe mtoa mada ni kwamba, Dini ya kiislam inanguvu Kubwa kama nguvu ilizonazo hizo Timu.
Huwezi fananisha Uislam na dini yoyote Tz hii.
Huu ndio Ukweli kama hutaki basi
 

lakini pia kiutamaduni na mapaokeo mfungo wa ramadhani ni famous sana, Mwisho kabisa kama umekereka kuwa mwisilamu na wewe utakiwe IDD Mubarakh
 
Kitu Cha kufahamu wewe mtoa mada ni kwamba, Dini ya kiislam inanguvu Kubwa kama nguvu ilizonazo hizo Timu.
Huwezi fananisha Uislam na dini yoyote Tz hii.
Huu ndio Ukweli kama hutaki basi
Hapana siyo kweli, sema hivi waislamu mnapenda attention sana
 
Nyambafu....
 
MANCHESTER UTD, BARCA, LIVERPOOL, AC MILAN, REAL MADRID kama umeona wametoa heri ya Kwaresma niite mbwa nimekaa paleeeeee.

Wakristo mnaichukulia KWARESMA kama kitu cha kawaida na hamkipi uzito kuzidi BIRTHDAY YA YESU na KIFO cha YESU.
Ukristo ulaya na marekani unapumulia mashine. Wazungu suala la dini wamelitupilia mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…