Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday mwanafact wangu japo nimechelewa kukuwish.Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.
Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani
Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Thank you Alexander The Great for the wishes, sawa nasubiri posa sema mahari itakua juu kidogo so you better get preparedHappy birthday ma'am, may god grant you a long healthy happy life and your dreams come true. Lea wajukuu vizuri tuje kuleta posa.[emoji120]
Live.Love.Life
Tatizo una haraka jamani, nlikua naanza na "Ntampenda sanaaa, halafu na ntampenda zaidi" kwanza ili nimalizane nae kabisa. Halafu ndio nlikua nikuje kwako sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] I see, kwa hiyo hizi ndio salamu za birthday kutoka kwa mudi
Hahaha why do i feel kwamba you are the mudi we are talking about here, yaani ile msg ya kuvaa barakoa ni wewe kabisa ulituma😅😅Tatizo una haraka jamani, nlikua naanza na "Ntampenda sana, na ntampenda zaidi" kwanza ili nimalizane nae kabisa. Halafu ndio nlikua nikuje kwako sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama Samia na Urais wake, watu wameweza kumtolea mahari na kumuoa. Mi ndio ntashindwa kutoa mahari kwa mjukuu wako enh?[emoji38][emoji38][emoji38]Thank you Alexander The Great for the wishes, sawa nasubiri posa sema mahari itakua juu kidogo so you better get prepared
Hahaha why do i feel kwamba you are the mudi we are talking about here, yaani ile msg ya kuvaa barakoa ni wewe kabisa ulituma[emoji28][emoji28]
Kweli mudi anaongoza kwa sasa hakuna wa kushikilia rekodi yakeMama Samia na Urais wake, watu wameweza kumtolea mahari na kumuoa. Mi ndio ntashindwa kutoa mahari kwa mjukuu wako enh?[emoji38][emoji38][emoji38]
Yamekua hayo tena. Excuse yourself[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yule jamaa ni level nyingine, kama ni katika research ya wanaume bahili basi muddi ataongoza jina lake kwenye quotation/referencing & bibliography.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa naafya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.
Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani
Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Thank you BAKHappy Birthday Mrembo. Hopefully you had a wonderful day full of joy and happiness together with your loved ones.
View attachment 1822723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muddi gani tena wee nae lol.Muddi anakusalimia [emoji4]
Hongera sana mkuu japo nimekua wa mwisho kukuwish 🎂🥞🍰🥮Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.
Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani
Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Whoo happy birthday dear nimechelewa kuuona uzi umezaliwa same date na 1st born wangu na my young sis kwa kweli mmebarikiwa!!Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo