Its My Birthday, uzee unaniandama

Its My Birthday, uzee unaniandama

Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.

Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani

Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Happy birthday mwanafact wangu japo nimechelewa kukuwish.
 
Happy birthday ma'am, may god grant you a long healthy happy life and may your dreams come true. Lea wajukuu vizuri tuje kuleta posa.[emoji120]

Live.Love.Life
 
[emoji28][emoji28] I see, kwa hiyo hizi ndio salamu za birthday kutoka kwa mudi
Tatizo una haraka jamani, nlikua naanza na "Ntampenda sanaaa, halafu na ntampenda zaidi" kwanza ili nimalizane nae kabisa. Halafu ndio nlikua nikuje kwako sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo una haraka jamani, nlikua naanza na "Ntampenda sana, na ntampenda zaidi" kwanza ili nimalizane nae kabisa. Halafu ndio nlikua nikuje kwako sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha why do i feel kwamba you are the mudi we are talking about here, yaani ile msg ya kuvaa barakoa ni wewe kabisa ulituma😅😅
 
Thank you Alexander The Great for the wishes, sawa nasubiri posa sema mahari itakua juu kidogo so you better get prepared
Mama Samia na Urais wake, watu wameweza kumtolea mahari na kumuoa. Mi ndio ntashindwa kutoa mahari kwa mjukuu wako enh?[emoji38][emoji38][emoji38]

Hahaha why do i feel kwamba you are the mudi we are talking about here, yaani ile msg ya kuvaa barakoa ni wewe kabisa ulituma[emoji28][emoji28]

Yamekua hayo tena. Excuse yourself[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yule jamaa ni level nyingine, kama ni katika research ya wanaume bahili basi muddi ataongoza jina lake kwenye quotation/referencing & bibliography.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama Samia na Urais wake, watu wameweza kumtolea mahari na kumuoa. Mi ndio ntashindwa kutoa mahari kwa mjukuu wako enh?[emoji38][emoji38][emoji38]

Yamekua hayo tena. Excuse yourself[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Yule jamaa ni level nyingine, kama ni katika research ya wanaume bahili basi muddi ataongoza jina lake kwenye quotation/referencing & bibliography.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mudi anaongoza kwa sasa hakuna wa kushikilia rekodi yake
 
Happy Birthday Mrembo. Hopefully you had a wonderful day full of joy and happiness together with your loved ones.
1624016712591.jpeg

Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa naafya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.

Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani

Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

Hongera sana mkuu japo nimekua wa mwisho kukuwish 🎂🥞🍰🥮
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.

Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani

Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Whoo happy birthday dear nimechelewa kuuona uzi umezaliwa same date na 1st born wangu na my young sis kwa kweli mmebarikiwa!!
 
Back
Top Bottom