Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua.
Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti.
Kama mlitumia mbinu hizo za propaganda za kichovu zamani mkafanikiwa, jueni kwa sasa mko nje ya muda.
ITV mmekubali kutumika kijinga mno.