Hii lugha "vita ya uchumi" ilifanya kazi miaka ile 2016-2019 kwa sababu bwana yule alichokonoa sehemu nyingi sana hata zile ambazo zilikuwa hazigusiki.
Sasa huyu zimwi la kizanzibari limefanya nini hasa mpaka muda huu hili tuamini kweli hii ni vita ya uchumi iliyotufikisha hapa? zaidi ya kuuza rasilimali na kuwafuga mafisadi?