Wajinga kweli, ni kama hawajasoma alama za nyakati. Watu wameshaamka wao wamebaki kupush ajenda za majizi ya kura.Watangazaji wa ITV wanajipendekeza ili wapate uteuzi. Kuna Baadhi wanadanganyana eti kwamba wakijipendekeza kwa serikali basi nao watatteuliwa kama Abdallah Mwaipaya na Godwin Gondwe walivyopewa uDC
Utekaji, utesaji, ulawiti na uuaji.Hata mi nashangaa eti wanasema maandamano yamechochewa na vita ya kiuchumi wakati maandamano yamesababishwa na uchaguzi mbovu
Wanajizima data tu.Hata mi nashangaa eti wanasema maandamano yamechochewa na vita ya kiuchumi wakati maandamano yamesababishwa na uchaguzi mbovu
Hakuna kitu uchafu mtupu.Mkuu hiyo ni super brand hata sasa. Ingekuwa takataka wasingekuwa super brand. Wqko vizuri sana kuliko TV zote. Wale sio wanaharakati na wanajitahidi sana ku balance mizani.
Mkuu, unalinda kibarua chako hapo itv au 😂Mkuu hiyo ni super brand hata sasa. Ingekuwa takataka wasingekuwa super brand. Wqko vizuri sana kuliko TV zote. Wale sio wanaharakati na wanajitahidi sana ku balance mizani.
Wanabalance nini? Wakati wa uchaguzi walitangaza kilichokuwa kinaendelea kwenye ule uchafu?Mkuu hiyo ni super brand hata sasa. Ingekuwa takataka wasingekuwa super brand. Wqko vizuri sana kuliko TV zote. Wale sio wanaharakati na wanajitahidi sana ku balance mizani.