Unaonaje ukaanzisha kituo chako ukaweka vipindi unavovitaka πHicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua.
Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti.
Kama mlitumia mbinu hizo za propaganda za kichovu zamani mkafanikiwa, jueni kwa sasa mko nje ya muda.
ITV mmekubali kutumika kijinga mno.
Hii si independent tv anymore washiriki wa vipindi vya midahalo ya kiuchumi au malumbano ya hoja 80% ni walewale kana kwamba hakuna wenye mawazo mbadala.Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua.