Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
😂😂Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
Mkuu usilie
Super brandAfrica mashariki😅
Hii tuzo ilifanywa na kampuni Toka Kenya ya utafiti wa brand..ITV aliibuka kidedea upande wa TV hasa Taarifa Yao ya habari ilikua hotKuna tuzo wali wahi pata, ila sidhani kama ni consecutive kihivyo.
beside haiondoi kuwa wali wahi pata, nice branding game
Hapana hiyo tuzo iliandaliwa na kampuni ya utafiti wa Masoko na chapa ( marketing and brand)Nadhani hizi tuzo wao wnyw ndio waandaaji mana haiwezekani kwa muonekano ule afu uwe super brand.
Yes,Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
Wewe umeelewa nilivyouliza? Au una changamoto ipi mkuu?Yes,
its true,
itv ni super brand television Africa mashariki🐒
Tofauti ya hizo 180p na 8k ni nini? Try to be explicit2026 na video resolution zao ni 180p wakati dunia iko kwenye 8k
Pamoja na hizo camera zao za kisasa, habari za Azam TV hazina mvuto kabisaAzam TV wakiacha udini wanapaswa kuwa super-brand.