Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mfalme sele ni noma, halafu akapiga na mtazamo best hip hop song aisee.Mie sina noma nae kabisa namkubali mfalme sele na kwa mwaka ule alistahili.
Mfalme sele ni noma, halafu akapiga na mtazamo best hip hop song aisee.Mie sina noma nae kabisa namkubali mfalme sele na kwa mwaka ule alistahili.
Kwa mimj darubini ndio bora zaidi kwa afande, ile mtazamo ni ngoma kali, ila imebebwa zaidi na verse ya solo thang.. ile verse ni kali mnooo.. nadhani ni verse bora zaidi toka kwa ulamaaMfalme sele ni noma, halafu akapiga na mtazamo best hip hop song aisee.
darubini ni kali, ila best collaboration ni mtazamo.Kwa mimj darubini ndio bora zaidi kwa afande, ile mtazamo ni ngoma kali, ila imebebwa zaidi na verse ya solo thang.. ile verse ni kali mnooo.. nadhani ni verse bora zaidi toka kwa ulamaa
Anzisha kura hapa.. verse ya nani kali katika ngoma ya mtazamo, naamini wengi watasema ya solo.darubini ni kali, ila best collaboration ni mtazamo.
kuhusu verse ipi kali, sele ali ingia ki kontawa mzee.
Ngoja nisikilize tena, nime ipiga kwenye fisi wanguAnzisha kura hapa.. verse ya nani kali katika ngoma ya mtazamo, naamini wengi watasema ya solo.
Isikilize kwa umakini, kuanzia flow, mistari, vina na kila kitu, solo aliwabwaga wenzie mule na ndio verse maarufu zaidi mule.. ni kama verse ya gk katika hii leo.Ngoja nisikilize tena, nime ipiga kwenye fisi wangu
Hakuna s bila o, thang bila soloIsikilize kwa umakini, kuanzia flow, mistari, vina na kila kitu, solo aliwabwaga wenzie mule na ndio verse maarufu zaidi mule.. ni kama verse ya gk katika hii leo.
Yes zote kali.. wote ni division 1.3 lakini solo ndio T.OHakuna s bila o, thang bila solo
vidato sita nilivyo pitia, dah ali flow.
Hii ngoma verse zote kali, hoja zote kali.
Nafikiri ile resolution ni 144p mkuu2026 na video resolution zao ni 180p wakati dunia iko kwenye 8k
😀😁😁Kwa kweli wengine mpaka tunazeeka 😂
Sisi tunafuata news, mnaotafuta picha pole zenuHapa tunazungumzia muonekano wa picha
ujinga tu huwa unawasumbua,Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
Hapa tunazungumzia muonekano.Sisi tunafuata news, mnaotafuta picha pole zenu
Halafu sijui Camera ni gharama sana au laa! Au sijui wanaona sio kipaumbele chao!?. Kiukweli taasisi kubwa kama Ile wanapaswa wawe na camera za kisasa