ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

Kwa mnaosema tatizo n camera, ishu sio ubora wa camera bali n uang'avu wa picha waliolipia kurushwa hewani.

TV zote duniani zinalipia gharama za urushaji matangazo kwenye satellite, ikiwemo ubora wa picha.

Jinsi ubora wa picha unavyokuwa mkubwa, ndivyo gharama nazo zinakuwa kubwa.

Mfano, 220p, 440p, 520p, 720p, 1080p na kuendelea mpaka 8k Japokuwa Sidhani kama Kuna TV channel inayoonyesha content zake kwa 8k mana hata super sports zinaonyesha mpira kwa 4k

So ubora ukiwa mkubwa, na ndivyo gharama pia zinakuwa kubwa.

Sasa hawa IPP Media kwa ujumla nadhani hawazidi hiyo 440p

Tukumbuke 720p Ndio HD inapoanzia.
 
Kwanza hy kampuni inayotoa hiyo tuzo tuijue kwanza, usikute n kampuni ya Moshi 😎
 
Super brand wanastahili
Watu mnafikiria picha kali tu hamuoni content zao
Mkuu, unaposema super brand maana yake Wanaangalia kila kitu mpaka huo muonekano, sasa kama muonekano mbaya utapendaje vipindi?
Kwamba utakuwa unasikiliza sauti tuu kama redio au?
 
Sawa ni Super brand ila kwa resolution ile ya 240p inastaajabisha.Wenzao wako kwenye HD broadcasting wao wameng'ang'ana na resolution za TV za CRT halafu kutwa kujiita Superbrand ni vichekesho. Sijajua shida ni ubahili au vifaa vya kisasa hawavijui maana ni aibu jamani. Kwa hadhi yao resolution ilitakiwa iwe kama ya Azam Sport HD vile.
Wewe unawaingizia tsh ngapi kwenye mapato yao ya mwezi mkuu? Maana nijuavyo kila biashara nilazima ihakikishe gharama za uendeshaji hasizidi faida,, unataka wajiendeshe kwa hasara?
 
Wewe unawaingizia tsh ngapi kwenye mapato yao ya mwezi mkuu? Maana nijuavyo kila biashara nilazima ihakikishe gharama za uendeshaji hasizidi faida,, unataka wajiendeshe kwa hasara?
Kwahio biashara ikiwa hovyo as long as unaingiza faida hutakiwi kufanya marekebisho.
 
Kwa mnaosema tatizo n camera, ishu sio ubora wa camera bali n uang'avu wa picha waliolipia kurushwa hewani.

TV zote duniani zinalipia gharama za urushaji matangazo kwenye satellite, ikiwemo ubora wa picha.

Jinsi ubora wa picha unavyokuwa mkubwa, ndivyo gharama nazo zinakuwa kubwa.

Mfano, 220p, 440p, 520p, 720p, 1080p na kuendelea mpaka 8k Japokuwa Sidhani kama Kuna TV channel inayoonyesha content zake kwa 8k mana hata super sports zinaonyesha mpira kwa 4k

So ubora ukiwa mkubwa, na ndivyo gharama pia zinakuwa kubwa.

Sasa hawa IPP Media kwa ujumla nadhani hawazidi hiyo 440p

Tukumbuke 720p Ndio HD inapoanzia.
Majibu ya mtu anayejua production,safi sana
 
Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
TV nyingi huwa zina award ya super brand kulingana na categories tofauti tofauti.
Mfano
Taarifa ya Habari ya saa 2 usiku
Makala ya mazingira
Makala ya uchumi
Makala ya michezo
Makala ya siasa nk

Nadhan ITV ilipata ya kigezo cha taarifa ya habari
Maana hata AZAM NA STAR TV PIA WALIPATA TUZO ZA SUPER BRAND ILA ITV kwa vile alishaishiwa anaona hiyo tuzo km jambo kuuuuuuubwa sana.
 
Ni kweli kabisa, Taarifa ya Habari ya ITV ni Best kwa Tanzania,
Hangaika siku nzima usisome gazeti wala usiende social media, ila ikifika saa 2:00 usiku fungua TV yako na tune ITV, taarifa zote muhimu utazipata.

Shauri yao wanaotaka habari za mipasho na wasanii
 
Hangaika siku nzima usisome gazeti wala usiende social media, ila ikifika saa 2:00 usiku fungua TV yako na tune ITV, taarifa zote muhimu utazipata.

Shauri yao wanaotaka habari za mipasho na wasanii
Mie nitafanya Yote ila habari ya ITV lzm nitazame,huu utaratibu nimempa Hadi mwanangu ,
Jamaa ni Best kwa habari
 
Back
Top Bottom