ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Umetumua vigezo vip kusema wana udini.Azam TV wakiacha udini wanapaswa kuwa super-brand.
Umetumua vigezo vip kusema wana udini.Azam TV wakiacha udini wanapaswa kuwa super-brand.
Akikujibu nitagUmetumua vigezo vip kusema wana udini.
Yah. Sijawahi sikia Dr Ruto, au Dr Kagame. Au Dr MuseveniWamejipea due huko kwenu Tizi kila mutu ako na authority ya kujibrand vile anapenda.
Halafu sijui Camera ni gharama sana au laa! Au sijui wanaona sio kipaumbele chao!?. Kiukweli taasisi kubwa kama Ile wanapaswa wawe na camera za kisasaWako vizuri kwenye matukio, namna wanavo wasilisha, changamoto ni vifaa vya kazi, zile kamera sijui za mwaka gani, jau sana, unashindwa kujua kuwa mtu ni mweupe au mweusi, tukio lime tokea asubuhi au jioni, yani tafrani tupu.
LI TIVII LINA RANGI MBAYA BALAAWakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
Sawa ni Super brand ila kwa resolution ile ya 240p inastaajabisha.Wenzao wako kwenye HD broadcasting wao wameng'ang'ana na resolution za TV za CRT halafu kutwa kujiita Superbrand ni vichekesho. Sijajua shida ni ubahili au vifaa vya kisasa hawavijui maana ni aibu jamani. Kwa hadhi yao resolution ilitakiwa iwe kama ya Azam Sport HD vile.Yes,
its true,
itv ni super brand television Africa mashariki🐒
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wako vizuri kwenye matukio, namna wanavo wasilisha, changamoto ni vifaa vya kazi, zile kamera sijui za mwaka gani, jau sana, unashindwa kujua kuwa mtu ni mweupe au mweusi, tukio lime tokea asubuhi au jioni, yani tafrani tupu.
Hawa ni kuwapiga madongo hadi wabadilike. Ubahili gani huo wanazidiwa hata na Millard Ayo mfanyakazi wao wa zamani.Halafu sijui Camera ni gharama sana au laa! Au sijui wanaona sio kipaumbele chao!?. Kiukweli taasisi kubwa kama Ile wanapaswa wawe na camera za kisasa
Kabisa yaani.Yah. Sijawahi sikia Dr Ruto, au Dr Kagame. Au Dr Museveni
Hapa tunazungumzia muonekano wa pichaPamoja na hizo camera zao za kisasa, habari za Azam TV hazina mvuto kabisa
Nyie wapogoro, Mbona mna nongwa na mfalme sele au kisa gari ndio mkaona mgogoroWaliwahi pata tuzo kipindi wakiwa wa moto, sijui kama hizo tuzo bado zinatoka au lah.
Hivyo wameamua kutambaa na hilo jina..
Km mfalme sele wa moro
Shida yangu kamera zao tu, mtu anaonekama kajichubua hata kama hapaki mkorogo 😂🤣🤣🤣
Mie sina noma nae kabisa namkubali mfalme sele na kwa mwaka ule alistahili.Nyie wapogoro, Mbona mna nongwa na mfalme sele au kisa gari ndio mkaona mgogoro