ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

Kuna tuzo wali wahi pata, ila sidhani kama ni consecutive kihivyo.

beside haiondoi kuwa wali wahi pata, nice branding game
Hii tuzo ilifanywa na kampuni Toka Kenya ya utafiti wa brand..ITV aliibuka kidedea upande wa TV hasa Taarifa Yao ya habari ilikua hot

Kuna kampuni zingine pia zilipata u super brand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…