SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ni umasikini tu, ila hiyo nyanya sio ya kutumia au ifike sokoni kwa kuuzwa japo mtaani tunazitumia na zipo za kutosha tu
Ni kweli kabisa mkuu .. Hasa maeneo ya uswanzi, na maisha yetu haya ya kula unachokipata na siyo unachokitaka.
 
Kwa uelewa wangu mdogo..kuhusu hilinyoka ni hapana....
Nyoka hutumia sumu yake katika madhumuni makuu mawili,1..kuwinda na 2.ni kumdhuru adui....
Sasa hili la nyanya ni ukakasi kwa sababu...nyoka pia sio vegetarian.
 
SIYO KWELI. Kwa muonekano wa tunda no2 tyr limeshapona na halina shida kabisa.Nyoka hawezi tumia sumu yake ovyo ovyo tu mwenye tabia hiyo ni swila pekee lkn huyo kifutu hadi umkanyage ama umchokoze na hutoa sumu kwa kujihami tu pia kwa sumu ya nyoka tunda lazima liharike papo hapo!
 
Umenikumbusha maisha ya shule,tumeripoti form one kesho yake tukapelekwa shamba Mtwivila huko. Shamba la mahindi ila limejaa mbeta za ulanzi,tukakuta nyoka,ndege,nzi,vipepeo...wanajipigia tu ulanzi. MM zikatumika (Rip Mwl Materu) mbeta zote tukaziteka ikawa ni kazi ya kujaza kidumu tu.
Hakuna sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…