Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Kwahiyo makanisa siku hizi hayajengwi? siku hizi mpaka makanisa ya mabati una yakuta Dar
Hayajengwi kwenye maeneo ya umma kama masokoni wala kwenye vituo vya mabasi, yanajengwa kwenye maeneo binafsi
 
Tunajionea, wizi, utapeli, ushirikina, ushoga, kuharibu watoto kulikoenea makanisani, dunia nzima.

Unangoja nini kwenda msikitini kutubu moja kwa moja kwa Muumba wako?
 
Rashid wa Kawe anasemaje?
 
Watoto wa KAMBO wanadekezwa sana🤣🤣
 
Bado haijafiikia huko lakini In shaa Allah ifikie ndiyo kitaeleweka.
Haitakaa itokee huwajui wazungu wewe. Huyu mwarabu kawekwa kumzuia mchina. Ulipolala mzungu alishaamkia hapo jana. Ndio maana Zanzibar haiwez kutoka mikononi mwa Tanganyika sio kwasababu ya Tanganyika ila mzungu hawez kuruhusu.
 

Niliwai kwenda iringa sehem inaitwa udekwa,huko shule ya serikali ina kamradi cha kufuga nguruwe...na walichinja nguruwe kwa ajili yetu wageni,mie muislam nikapiga zangu maharage ya mchemsho na ugali bila malalamiko yeyote kwa kua eneo hilo ni wakristo wanakaa,,,ila ningekua na chuki kama za mleta mada bhc lile swala lisingeishia pale [emoji81][emoji81]
 
Haitakaa itokee huwajui wazungu wewe. Huyu mwarabu kawekwa kumzuia mchina. Ulipolala mzungu alishaamkia hapo jana. Ndio maana Zanzibar haiwez kutoka mikononi mwa Tanganyika sio kwasababu ya Tanganyika ila mzungu hawez kuruhusu.
Masikini ya Mungu nwkuhurumia sana kwa kujazwa ujings ukskujss, jionee Mzungu anafanya nini sasa hivi 👇🏾

Marekani: Jinsi kanisa lililotelekezwa la New York liligeuka kuwa kituo cha jumuiya ya Waislamu​

Bibi Esahack anatekeleza maono yake kwa ajili ya kituo cha jumuiya huko Brooklyn, New York, ambacho kinalenga kusaidia vizazi vijavyo vya jumuiya ya Kiislamu.

Kanisa lililotelekezwa huko Brooklynn huko New York liligeuzwa kuwa kituo cha jamii ya Waislamu (Zainab Iqbal/MEE)
 
Mbona ulalamiki kuhusu uwepo wa bar.
Watu wakifanya ibada inakukera Nini.
Pana siku mmoja alilalamika mbona airport hakuna prayers room za Wakristo zipo za waislamu.
Hapa ni ishu ya nature ya ibada, Mkristo haitaji prayers rooms akiwa safarini tofaut na Muislamu,vitu vingine Huwa Sio logic kuhoji
 


Na nyie mjenge kanisa hapohapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…