Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Hawa wazee walikuwa na akili sana japo tulikuwa tunawachukulia poa. walikuwa wanaona mbali sana. Tatizo lilianza tulipoamua kuacha mila zetu nzuri kama hizi.usukumani huko wazazi wako wanakuolea mke unaishi nae nyumbani kwa wazazi wako mpaka wahakikishe umejipata ndio wanakuruhusu ukaishi unapopataka
nikuswalike nawewe, je ukizaa na mtu na hauna mkataba naye inakuwaje?Ila wakizini kwako haitokuwa shida sio?
umesema vizuri sana kiongoziSiku hizi hamna vurugu tupu, kila mtu kungwi, kila mshauri wa mapenzi na ukiwatizama wengi wao ,ndoa zao zimewashindwa.Ukingia huko FB,Insta nk kuna mafunzo ya ajabu ajabu kuhusu ndoa
Tatizo mwanamke anakua binti mdogo mbichi miaka 17 au 18 alieozeshwa na Ng'ombe nyingi na anatakiwa apike chakula cha kulisha ukoo mzima, malalamiko yanaanzia hapoHawa wazee walikuwa na akili sana japo tulikuwa tunawachukulia poa. walikuwa wanaona mbali sana. Tatizo lilianza tulipoamua kuacha mila zetu nzuri kama hizi.
ndio, kwa watu wa umri fulaniNdoa zifutwe
Age means nothing it's just a numberKuna vijana wengi wanafikisha 30+ lakini bado wanaakili za kitoto sioni kwamba nikipimo sahihi .
Kikubwa mtu kama anaweza kuhudumia familia na upendo wa kweli kwa mwenzie hata kama ana 18 yrs anaweza kuoa
kwetu mtu anayeolewa utotoni kama huyo anajumuishwa na watoto wengine atakaowakuta hapo home. Atacheza midako km kawaida na watoto wenzake aliowakuta hapo na anatunzwa na wake wakubwa aliowakuta hapo huku akifundishwa mambo taratibu hadi azoee.Tatizo mwanamke anakua binti mdogo mbichi miaka 17 au 18 alieozeshwa na Ng'ombe nyingi na anatakiwa apike chakula cha kulisha ukoo mzima, malalamiko yanaanzia hapo
Hao hauwezi kuwaondoa hadi dahari wataendelea kuwepo tu. ila kwa wastani wanakuwa sio wengi kivile.Kuna vijana wengi wanafikisha 30+ lakini bado wanaakili za kitoto
Kwenu wapi?kwetu mtu anayeolewa utotoni kama huyo anajumuishwa na watoto wengine atakaowakuta hapo home. Atacheza midako km kawaida na watoto wenzake aliowakuta hapo na anatunzwa na wake wakubwa aliowakuta hapo huku akifundishwa mambo taratibu hadi azoee.
Akili muhimu sana ila watu wathamini sana pumzi na uhai wa mwingine...Huyo kama ana akili za kitoto bado atazaa tu ,hapa kwenye kuzaa ni mtihani kabisa ; watoto kukosa malezi bora kabisa ,kumpa mzigo mzazi wa kike hata kupelekea umaskini.Kuna vijana wengi wanafikisha 30+ lakini bado wanaakili za kitoto sioni kwamba nikipimo sahihi .
Kikubwa mtu kama anaweza kuhudumia familia na upendo wa kweli kwa mwenzie hata kama ana 18 yrs anaweza kuoa