Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

Vipapatio vikishavunja bikra vinaanza kusumbua wanaume
 
Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30.

Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana.

Ndoa ni mkataba ule.

Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu.

Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya.

Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue yeye kwanza, kwa mwanamke hata akiolewa chini ya 18 sio mbaya.
ndoa ni ya mwanamke. Mwenye uhamuzi wa kuanzisha ndoa ni mwanamke siyo mwanamme.
 
Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30.

Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana.

Ndoa ni mkataba ule.

Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu.

Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya.

Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue yeye kwanza, kwa mwanamke hata akiolewa chini ya 18 sio mbaya.
na mwisho wa kuoa uwekwe!
 
sasa kiongozi kama mzazi wako angeishi na falsafa hii wewe apo ungekuwepo leo hii?
Kuwepo au kutokuwepo mie hainihusu, ba haifanyi niwalete wengine, kisa mie nililetwa, ikiwa sihitaji, Lol
 
Kwa hiyo tuwe na msingi mmoja na iwe sheria ...Kama kuzaliana kama panya basi ni sawa ila tunajenga taifa la hovyo ; watoto kukosa malezi ,mitifuano ya kimahusiabo .

Kama haujafunga naye ndoa basi si wako ,hauna mamlaka naye hata mali zake sio zako...Kujenga misingi ya familia ni muhimu kulinda maslahi yenu na anayezaliwa .
Sijakuelewa, em rudia upya.
 
Unaniuliza hilo swali mie? Hivi ulisoma comment angu vizuri? Kasome upyaa
Nimesoma yote hata wewe rudia usome ...Unazaa mtoto kwa misingi ipi kwenye malezi ,unazaa kama mzazi mmoja au mtoto azaliwe na kupata malezi ya wazazi wote.
 
Nimesoma yote hata wewe rudia usome ...Unazaa mtoto kwa misingi ipi kwenye malezi ,unazaa kama mzazi mmoja au mtoto azaliwe na kupata malezi ya wazazi wote.
Sikuzungumzia kuhusu kuzaa mie, nilizungumzia kuhusu kuoa na kuolewa. Hayo ya kuzaa uliyaleta wee. Sorry bwasheee.
 
Sikuzungumzia kuhusu kuzaa mie, nilizungumzia kuhusu kuoa na kuolewa. Hayo ya kuzaa uliyaleta wee. Sorry bwasheee.
Sio lazima lakini je ,utazaa watoto kwa misingi ipi ya malezi ?
 
Unaoa miaka 30 mwanamke mnatafuta watoto mpaka miaka kumi

Unafika umri wa kustaafu mtoto wako ana miaka 15.

Mwanzo wa kufa kwa presha
 
Back
Top Bottom