Nakaziaaa.Ndoa zifutwe
Lakini mdada ,mpaka tunapata taifa basi ni watu hao na watu wanaanza ngazi ya kuzaliwa. kwa maana hiyo ngazi ya familia ndiyo msingi wa kila kitu ..Ukivuruga hapa ni basi.Kuoa na kuolewa sio lazima, kuna maisha nje ya kuoana.
Ishi humo.
Kwa hiyo??Lakini mdada ,mpaka tunapata taifa basi ni watu hao na watu wanaanza ngazi ya kuzaliwa. kwa maana hiyo ngazi ya familia ndiyo msingi wa kila kitu ..Ukivuruga hapa ni basi.
Mambo mengine muhimu ni kama elimu ya aina yoyote ile....Sisi kama taifa tuna msimamo gani kuanzia chini ili kila kiumbe kifuate mwongozo.
Unaweza kusema ndoa sio lazima ila mnazalia kama panya bila ya utaratibu hata kama huyo Mtoto atakuja kuwa vizuri ila hiyo miaka ya makuzi yake atapata changamoto za kimalezi.
Vijana wa sasa mkikutana uchochoroni ,mkapeana mimba basi ishu ya kutoa huduma hauwezi kumbana hata uende wapi japo sheria zipo ila hazina msingi wa kumbana mtuhumiwa.
inaweza kuwa kweli kwako na labda watu wengine wachache, ila utakuta walio wengi watapenda kuwa kwenye ndoaKuoa na kuolewa sio lazima, kuna maisha nje ya kuoana.
Ishi humo.
trueHii sheria ingekuwepo kitambo ingeniokoa kipindi cha ujana wangu
Kwa hiyo tuwe na msingi mmoja na iwe sheria ...Kama kuzaliana kama panya basi ni sawa ila tunajenga taifa la hovyo ; watoto kukosa malezi ,mitifuano ya kimahusiabo .Kwa hiyo??
Napinga mtu kuzaa kabla ya ndoa (kwetu Waislam mkataba wenyewe ni ndoa). Wewe unayesema watu walazimishwe wasioe mpaka miaka 30, huoni kuwa ndio itasababisha jamii kuharibika zaidi?nikuswalike nawewe, je ukizaa na mtu na hauna mkataba naye inakuwaje?
umesema vizuri sana kiongozi 👏👏👏Kwa hiyo tuwe na msingi mmoja na iwe sheria ...Kama kuzaliana kama panya basi ni sawa ila tunajenga taifa la hovyo ; watoto kukosa malezi ,mitifuano ya kimahusiabo .
Kama haujafunga naye ndoa basi si wako ,hauna mamlaka naye hata mali zake sio zako...Kujenga misingi ya familia ni muhimu kulinda maslahi yenu na anayezaliwa .
Kama hatutokuwa na ndoa automatically unaishi na mwanamke hauna mamlaka naye hata ukimkuta na mwingine hauwezi kufanya kitu... Mwanamke wa hivyo kweli unaweza kukubali kulea hata mimba yake ? Angalau ndoa unaweza kulelea mimba sio yako kama amecheat kwa siri ila hawa unajua sio wako.umesema vizuri sana kiongozi 👏👏👏
Hivi aliye wandanganya waafirika kuwa kipimo cha mtu kujielewa na kuwa na akili ni umri alio nao ni nani?Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30.
Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana.
Ndoa ni mkataba ule.
Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu.
Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya.
Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue yeye kwanza, kwa mwanamke hata akiolewa chini ya 18 sio mbaya.
kwa wastani watu wengi wanaangukia kundi la watu wa kawaida.Hivi aliye wandanganya waafirika kuwa kipimo cha mtu kujielewa na kuwa na akili ni umri alio nao ni nani?
Mtu kuwa na umri mkubwa sio kipimo cha yeye kuwa na akili.
Mtu mpumbavu ni mpumbavu tu bila kujali ana miaka mingapi kwa sababu wapumbavu huzeeka pia.
Mpumbavu wa mwaka huu ndo mpumbavu wa miaka ijayo.
sasa kiongozi kama mzazi wako angeishi na falsafa hii wewe apo ungekuwepo leo hii?Nakaziaaa.
Mkuu narudia tena hakuna uhusiano kati ya umri wa mtu na kujitambua kwake ukiona kijana amefikisha miaka 20,21,22,23 na bado hajajitambua na ana upumbavu kichwani basi tambua kuwa huyo automatically huyo ni mpumbavu kiasili na usitegemee upumbavu kumuisha eti kwa sababu kafikisha umri wa miaka 30 au 50.kwa wastani watu wengi wanaangukia kundi la watu wa kawaida.
wenye mapungufu hawakosekani kama ilivyo kwa wenye akili nyingi walivyo wachache.
Na Tanga shekhe huko ukimalia la saba tu una kabati moja sufuria mbili na vikombe vya bati na ndoo moja ,Kijamaa kina nyege mshindo kina miaka 19 tu eti tayari kimeoa, usukumani huko wazazi wako wanakuolea mke unaishi nae nyumbani kwa wazazi wako mpaka wahakikishe umejipata ndio wanakuruhusu ukaishi unapopataka
duh mbona sufuria mbili😄😄😄Na Tanga shekhe huko ukimalia la saba tu una kabati moja sufuria mbili na vikombe vya bati na ndoo moja ,
Unapewa mke
Picha linaanza mume akiamka asubuhi kijiweni mke kijiweni🤣🤣