Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

Vipapatio vikishavunja bikra vinaanza kusumbua wanaume
 
ndoa ni ya mwanamke. Mwenye uhamuzi wa kuanzisha ndoa ni mwanamke siyo mwanamme.
 
na mwisho wa kuoa uwekwe!
 
sasa kiongozi kama mzazi wako angeishi na falsafa hii wewe apo ungekuwepo leo hii?
Kuwepo au kutokuwepo mie hainihusu, ba haifanyi niwalete wengine, kisa mie nililetwa, ikiwa sihitaji, Lol
 
Sijakuelewa, em rudia upya.
 
Unaniuliza hilo swali mie? Hivi ulisoma comment angu vizuri? Kasome upyaa
Nimesoma yote hata wewe rudia usome ...Unazaa mtoto kwa misingi ipi kwenye malezi ,unazaa kama mzazi mmoja au mtoto azaliwe na kupata malezi ya wazazi wote.
 
Nimesoma yote hata wewe rudia usome ...Unazaa mtoto kwa misingi ipi kwenye malezi ,unazaa kama mzazi mmoja au mtoto azaliwe na kupata malezi ya wazazi wote.
Sikuzungumzia kuhusu kuzaa mie, nilizungumzia kuhusu kuoa na kuolewa. Hayo ya kuzaa uliyaleta wee. Sorry bwasheee.
 
Sikuzungumzia kuhusu kuzaa mie, nilizungumzia kuhusu kuoa na kuolewa. Hayo ya kuzaa uliyaleta wee. Sorry bwasheee.
Sio lazima lakini je ,utazaa watoto kwa misingi ipi ya malezi ?
 
Unaoa miaka 30 mwanamke mnatafuta watoto mpaka miaka kumi

Unafika umri wa kustaafu mtoto wako ana miaka 15.

Mwanzo wa kufa kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…