MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza tatizo kila mfanyabiashara awe na kijana mwenye elimu ya uhasibu atakayeweza kuondoa utata wa hapa na pale. Mfanyabiashara mwenye turnover ya zaidi ya 400m hashindwi kuajiri kijana akamlipa 400k kila mwezi ili mahesabu yake yakae sawa.
Natumaini huu uzi utafanyiwa kazi na mamlaka husika haraka iwezekanavyo
Pumbafu kabisa. Mijitu ya CCM inafikiria kwa kutumia nini? Uongozi mbovu na wa kifisadi wa CCM umeitumbukiza nchi katika janga la ajira halafu mipumbavu mingine inataka kulazimisha watu waajiri. Mijitu imeshindwa kupanga mambo ya nchi sasa inakurupuka kufanya ujinga.Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza tatizo kila mfanyabiashara awe na kijana mwenye elimu ya uhasibu atakayeweza kuondoa utata wa hapa na pale. Mfanyabiashara mwenye turnover ya zaidi ya 400m hashindwi kuajiri kijana akamlipa 400k kila mwezi ili mahesabu yake yakae sawa.
Natumaini huu uzi utafanyiwa kazi na mamlaka husika haraka iwezekanavyo.
Vegetables huyoNilikua namuona ana akili kumbe faka tu msenge huyu
Ukiwa na mhasibu utalipa kiwango kidogo tofauti na wewe kufanya biashara bila kuwa na mhasibuUnajua watu wanalipa kodi ngapi, unajua tukiagiza kontena thailand, china, dubai tinakamuliwa kiasi gani? Unajua kama burundi, zambia, uganda kenya tunaagizia sehemu moja na wao hadi bidhaa inafika destination inakua bei chini kuliko sisi kodi karibu 14 Kwa bidhaa moja? Kila mwaka mnaongeza vikorokoro kwenye kodi tuko kimya leo choko maskini kunuka kama wewe unajifanya mchambuzi wa kodi
Karibu wote hao huwa wanatoa wahasibu India. Ndiyo wanakuwa na uhakika na biashara zao. Huwa hawategemei wahasibu wa ndani ya nchi.Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza tatizo kila mfanyabiashara awe na kijana mwenye elimu ya uhasibu atakayeweza kuondoa utata wa hapa na pale. Mfanyabiashara mwenye turnover ya zaidi ya 400m hashindwi kuajiri kijana akamlipa 400k kila mwezi ili mahesabu yake yakae sawa.
Natumaini huu uzi utafanyiwa kazi na mamlaka husika haraka iwezekanavyo.
Hawana lolote. Majitu yameishia darasa la 7 ila bahati nzuri Mungu kawabariki wana hela lakini linapokuja suala la kodi ni ulalamishi mwanzo mwisho.MamaSamia2025 njoo ujibuu wafanya biashaa wenye hasira kalii mkuu
Tafuta na wewe pesa zako usishadadie pesa za wenzako utafir***waHii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza tatizo kila mfanyabiashara awe na kijana mwenye elimu ya uhasibu atakayeweza kuondoa utata wa hapa na pale. Mfanyabiashara mwenye turnover ya zaidi ya 400m hashindwi kuajiri kijana akamlipa 400k kila mwezi ili mahesabu yake yakae sawa.
Natumaini huu uzi utafanyiwa kazi na mamlaka husika haraka iwezekanavyo.
Kwanini baadhi ya kina dada siku hizi mnatukana sana?Tafuta na wewe pesa zako usishadadie pesa za wenzako utafir***wa