Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mimi mwenyewe leo ndio nimejua kumbe wewe ni popoma kwa huo ushauri ulioleta wa kijinga na wa kichawa..Mbona kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Kwanini umeamua kuni-prove wrong ghafla?
Umefanya kina mama wenzio tuonekane hatuna akili..!