Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

Mbona kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Kwanini umeamua kuni-prove wrong ghafla?
Mimi mwenyewe leo ndio nimejua kumbe wewe ni popoma kwa huo ushauri ulioleta wa kijinga na wa kichawa..
Umefanya kina mama wenzio tuonekane hatuna akili..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…