Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Mbowe ni Tape..Maridhiano yalikufa hata Mbowe ni shahidi wa hili, hayo "maridhiano" wanayoyatambua Chadema ni yapi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni Tape..Maridhiano yalikufa hata Mbowe ni shahidi wa hili, hayo "maridhiano" wanayoyatambua Chadema ni yapi tena?
Huyu Mayalla ni Kada wa CCM Channel 10TV ni ya CCM hayo mahojiano na Katibu wetu wa CHADEMA hayatakuwa ya upendeleo kweli?CCM, hujui hata hili?
Hadi leo atu hawajui Channel ni media house ya CCM??Huyu Mayalla ni Kada wa CCM Channel 10TV ni ya CCM hayo mahojiano na Katibu wetu wa CHADEMA hayatakuwa ya upendeleo kweli?
Na kama tujuavyo kipindi kimesharekodiwa na Editing nyingi zimeshafanyika Anyway ngoja nitizame..
na Lissu..Mbowe ni Tape..
Maelezo sahihi kabisaView attachment 2943630View attachment 2943622View attachment 2943624Mosi , binafsi kwenye hilo la matokeo siyatambui yale matokeo.
Pili siungi mkono maridhiano yaliyokuwa ya wanasiasa bila kuhusisha familia zilizopoteza ndugu, jamaa na marafiki kupitia "pre and post elections violence."
Tatu hakuna tume huru iliyoundwa kuchunguza mchakato mzima wa uchaguzi yaani upigaji kura, uhakiki wa wapiga kura halisi, idadi ya kura zilizopigwa, kuhesabu kura (hapa mawakala wa CHADEMA walitekwa vituo vingi sana huku waCCM wakibaki kujijazia kura zilizoletwa kwenye mabegi na hotpot kama geresha ya chakula cha mawakala kwenye Mnyika sikubaliani nae labda kama Maridhiano yamewanufaisha wao tu kama wanasiasa na sio watu waliokuwa mstari wa mbele hadi wengine kupoteza maisha nyakati zile za giza.
Nne na mwisho TV atakayohojiwa Mnyika iko affiliated na CCM and since it is not an independent media we should expect card stacking and one sided debate with a partisan moderator.
Attached herewith some concrete evidence of post election
View attachment 2943620
illegalities.View attachment 2943622View attachment 2943624View attachment 2943630
Tope huyona Lissu..
ana mandate sio mandatory. seems you have a calling in broken english.kwahiyo Mmeamua kutufanya wapumbafu ?Kama ni hivyo siyo CCM wala CHADEMA wa kukaa madarakani ila bado mzungu ana mandatory ya kututawala direct coz nyote hamjielewi.
CCMHivi nani anaimiliki Channel 10?
Swali la msingi sana.Sawa
Hivi live maana yake ni nini mkuu?
Yule dikteta uchwara aliiba uchaguzi mzima kishamba kama alivyokuwa mshamba.View attachment 2943643
Nje ya Mada,kwahiyo akaona aunge mkono juhudi?
Sisi tumevumilia yale yote DHALIMU mpaka Mungu alipoamua Ugomvi.