Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwan haiwezikani 🐒Itakuwa live halafu tayari ameshajibu baadhi ya maswali yako! Unakwama wapi bro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan haiwezikani 🐒Itakuwa live halafu tayari ameshajibu baadhi ya maswali yako! Unakwama wapi bro?
well done,Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na Channel Ten, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, Kuunguruma Kuanzia Saa 3:00 Usiku.
Katika kipindi hicho, JJ. Mnyika atathibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua
uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
Pia JJ Mnyika atajibu hoja mbalimbali za Mwandishi Pascal Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wabunge wake 19,
Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19.
Jiunge nami hiyo saa 3:00 nitakuleta live kupitia hapa if na kupitia mitandao ya kijamii.
Kipindi kilichopita nilizungumza na Salim Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chadema
Vipindi vijavyo, nitamtafuta Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Usikose!.
Paskali
akili yako yote iko kwa chadema! walikufanyia nini kibaya mpaka chuki kutoka kwenye floor ya moyo wako?Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na Channel Ten, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, Kuunguruma Kuanzia Saa 3:00 Usiku.
Katika kipindi hicho, JJ. Mnyika atathibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua
uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
Pia JJ Mnyika atajibu hoja mbalimbali za Mwandishi Pascal Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wabunge wake 19,
Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19.
Jiunge nami hiyo saa 3:00 nitakuleta live kupitia hapa if na kupitia mitandao ya kijamii.
Kipindi kilichopita nilizungumza na Salim Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chadema
Vipindi vijavyo, nitamtafuta Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Usikose!.
Paskali
Usisahau kumwulizabkwa nini hawajateua Wabunge 19 mbadala? Wapo, na orodhabiponilipitishwa na Kamati Kuu. Sasa wanaifichabkwa vilenilijaa Ndugu zake mbowe kutoka Moshi na wake wa viongozi wa KK wakiwamo walioshinda na walioshindwa kinyang'anyiro kumpata mgombea tindulissu wa 2020 na mabinti wa vinguge wote aliokuja nao Lowassa. Shame shame shame!Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na Channel Ten, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, Kuunguruma Kuanzia Saa 3:00 Usiku.
Katika kipindi hicho, JJ. Mnyika atathibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua
uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
Pia JJ Mnyika atajibu hoja mbalimbali za Mwandishi Pascal Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wabunge wake 19,
Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19.
Jiunge nami hiyo saa 3:00 nitakuleta live kupitia hapa if na kupitia mitandao ya kijamii.
Kipindi kilichopita nilizungumza na Salim Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chadema
Vipindi vijavyo, nitamtafuta Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Usikose!.
Paskali
Sasa tusikilize nini wakati umeishatuambia kila kitu ambacho Mnyika atasema?Wanabodi

4. Pia JJ Mnyika amejitahidi kujibu hoja mbalimbali za mwandishi Pasco Mayalla, zikiwemo hoja kuhusu wale wabunge wake 19, likiwemo jibu la swali ”Kwanini Chadema mpaka leo haijaripoti polisi kuhusu jinai ya kughushi ya wabunge hao 19?”
View: https://youtu.be/-M8HnYQgtAc?si=mBlAuAvub0JcokXp
5. JJ Mnyika, amesema Chadema ina uthibitisho wa uhusika wa mamlaka za nchi katika jinai ya kughushi uteuzi wa wabunge 19, serikali ikihusika na jinai, jeshi la polisi halifanyi uchunguzi!. Hata shambulio la Lissu, mamlaka ilihusika ndio maana mpaka leo hakuna uchunguzi wowote wa kijinai
View: https://youtu.be/CH1amKvbsQc?si=4_QhuIr4MXrYpv5J
Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
View attachment 3247495
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025