J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

well done,

nataman next time niandae kipindi nikuhoji wewe na kupata mtazamo, matarajio na maoni yako kwa ufupi sana juu ya uchaguzi wa 2020 kuanzia ndani ya vyama, mwenendo wa siasa za Tz tangu baada ya msiba wa hayati Magufuli, lakini pia maono na mipango yako uchaguzi ujao 2025 kuanzia ndani ya vyama vya siasa 🐒
 
akili yako yote iko kwa chadema! walikufanyia nini kibaya mpaka chuki kutoka kwenye floor ya moyo wako?
 
Usisahau kumwulizabkwa nini hawajateua Wabunge 19 mbadala? Wapo, na orodhabiponilipitishwa na Kamati Kuu. Sasa wanaifichabkwa vilenilijaa Ndugu zake mbowe kutoka Moshi na wake wa viongozi wa KK wakiwamo walioshinda na walioshindwa kinyang'anyiro kumpata mgombea tindulissu wa 2020 na mabinti wa vinguge wote aliokuja nao Lowassa. Shame shame shame!
 
Sasa tusikilize nini wakati umeishatuambia kila kitu ambacho Mnyika atasema?

Amandla...
 
Msikilize JJ Mnyika akijibu hoja zangu kuhusu forgery,kisha msikie Mhe。Ester Bulaya akizumzia uteuzi wao
Mhe。Bulaya amethibitisha hakuna jinai ndio maana Chadema hawajashitaki polisi!。

Ila mimi mwenzenu jamani, ni binadamu tuu, huyu mdada,sio tuu namkubali sana kichizi,bali kiukweli,pia nina 。。。,,na hakuna kosa lolote,kwa mtu yoyote,kum。。。 mtu mwingine yeyote,kwa sababu yoyote,au hata bila sababu yoyote, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time ago toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…