Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ila nasikia yeye ndio alimtanguliza mzeeAlijua mzee ni mtu wa safari one day akachonga michongo yake na mtu wa ticket siku mzee anasafiri Dubai nae akakata siti moja masaa matano tu dubai yalitosha kuteka ufahamu wa mzee akaingia kingi alipopata nafasi ya kutoana jasho hakufanya ajizi kuhakikisha damu ya mzee inakuwa ya moto.
Mzee akachonga mzinga kabisa leo anakula kilaini.
Kama ww eti akati s ndo wale wale kipa katoka golinituta fanyaje Sasa, na akati hilo ndio bata lililo kuja kuripotiwa na mwanaume mwenzetu!.
Hapa mjini tu ukienda kwa Twaiba kutegemea na makeup inaweza Fika 2M na upuuzi, dola 100 ni hela ndogo mno, ni saloon ya kati hata kwa level za Tanzania.Ko bata kwako ni kutengeneza nywele kwa dola 100 ambayo ni kama laki 2 na ushee?.
basi bado sana kijana, tuendelee kutafuta hela tu. (Maana haya ndio maajabu kwa kizazi hiki)
Ila mzee aliingia cha kike aiseeHabarini,
Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.
Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..
Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁
View attachment 3278947
View attachment 3278948
Aliona fursa akatumia maana angekuwa na akili kama za wale wengine asingekubali kuolewa na yule babu. Ila mzee alipagawa na mauno.Alijua mzee ni mtu wa safari one day akachonga michongo yake na mtu wa ticket siku mzee anasafiri Dubai nae akakata siti moja masaa matano tu dubai yalitosha kuteka ufahamu wa mzee akaingia kingi alipopata nafasi ya kutoana jasho hakufanya ajizi kuhakikisha damu ya mzee inakuwa ya moto.
Mzee akachonga mzinga kabisa leo anakula kilaini.
Itabidi waanze kulipia
Hajakonda kusema kakonda ni kumpa sifa asizokuwa nazo kiswahili sahihi ni kakondeana hasa huo sio mwili wake enzi akiwa na Reginald MengiHabarini,
Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.
Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..
Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁
View attachment 3278947
View attachment 3278948
Mm shamila wangu ameniomba pesa ya abaya na ya kupaka hina 😁😁😁humu kuna watu wana beza usd 100 ila kiuhalisia ni pesa ndefu kiasi chake
hapa mm nimeambiwa nitume 120k mtu akanunue abaya nimeweka kandege, niko nazungumza na nafsi yangu nitoe ama nipotee jumla
kama kwel 200k haikuwazishi uko vzr
hahah kabisa 😀Itabidi waanze kulipia
Early 40's?! Tofauti na mademu wengi wanaoingi Miss Tanzania wakiwa ndo kwanza wamemaliza Kidato cha VI, Jack alishiriki akitokea mtaani tayari ameshaanza maisha maisha kama Mwanamuziki! Kwa sasa atakuwa anaitafuta 50. Unamwona ni early 40's ni kwa sababu ya matunzo!!Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake
😹😹😹 Vincenzo Jr 🙌🏾humu kuna watu wana beza usd 100 ila kiuhalisia ni pesa ndefu kiasi chake
hapa mm nimeambiwa nitume 120k mtu akanunue abaya nimeweka kandege, niko nazungumza na nafsi yangu nitoe ama nipotee jumla
kama kwel 200k haikuwazishi uko vzr
Alikuwa mchezaji wa Simba Sports Club kabla Haji Manara hajaachia ngazi ya usemaji wa team.Mkuu🤔kwani huyo jack huko mujini daslamu ni nani?
maana mimi nimezaliwa 2012😝
Anaweza kuwa kapata chimbo jipyaHabarini,