Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Kosa lake ni kutaka kuwapiga wachaga ili amiliki mali yote labda alitonywa kama anapenda kupumua, hivi unawezaje kumpiga mchaga pesa wakati maana tu ya neno Moshi.
Ni Mungu onyesha mahali pesa ipo
Tatizo wengi wanamchukulia kama alikuwa hawara, hali ya kuwa ni mke halali wa Mengi, na wana watoto, hakuna mwanamke ataacha kupambana kwa ajili ya watoto wake.

Na nachoweza kusema huyu dada alimchanganya zaidi Mengi pale alipomzalia.
 
Tatizo wengi wanamchukulia kama alikuwa hawara, hali ya kuwa ni mke halali wa Mengi, na wana watoto, hakuna mwanamke ataacha kupambana kwa ajili ya watoto wake.

Na nachoweza kusema huyu dada alimchanganya zaidi Mengi pale alipomzalia.
Hata asingepambana wasingemtelekeza tatizo ni kutaka kuleta uporaji ujawahi endesha hata saluni unataka uende mali za kampuni
 
Watu wakisema Maisha Ni bahati Mimi huwa nakataa Kabisa kwasababu nime Witness mchakato mzima wa Jack kumtrap the Late Mengi, Haikuwa that easy kwa Mogul kama Mengi kufunga ndoa uzeeni vile na Kuzaa watoto kabisa, Jack kwa nafasi yake amepambana sana It was not that easy
 
Tupe mchakato Jacky aliotumia kumtrap Mzee Mengi, wanajf tule ubuyu Bird Watcher
 
Ndio maana huwa nawaambia vijana jipeni msijitoe kwenye mahusiano jipeni kipaumbele nyie wenyewe. Don't do financial stupidity to impress a broke woman. Women can Sleep their way to success, but you can’t, a woman can spread her legs and level up in life, but you as a man must grind for every damn thing you get

Nobody cares about your charm, your smile, or your body. You are only as valuable as the money you make, the power you have, and the respect you command. If you’re broke, struggling, and lazy, nobody is coming to save you.

That’s why you must focus on building yourself physically, financially, and mentally. If you waste time chasing women instead of chasing wealth, you’ll end up broke, frustrated, and powerless while watching women sleep their way to the top. Women have shortcuts that men will never have.

Being stingy, selfish and ambitious boyfriend is more functionable way to attain your financial goal than being a generous boyfriend
 
Maisha ni Safari,Ishi upendavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…