Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life


Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
 
Hela ya kawaida tu hata huku uswahili unatengeneza zaidi ya hela hio nywele
Kama wewe ni mwanaume kuna shida mahala go fix yourself, kama ni ke acha wivu na wewe tafuta safari na ma don.. blueprint si unayo alaa
 
Na maisha yako yakoje?

BTW, Wewe ni Mwanamke mtu mzima au binti? Kwasababu kwa Mwanamke Mtu mzima ni AIBU kujadili maisha ya watu wasiokufahamu wala kukuhusu
 
Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
mkuu classmates wa miaka iyo mnaweza msifanane miaka, mie nimesoma na jamaa wananizidi hadi miaka 10
 
Na mwaume ikaona hiki ndo Cha kuandika. Condom ingehusika ingempunguzia baba yako aibu,
Unamuonea wivu siyo!?
 
Kuonekana saloon tu tayari imeshaonekana ni habari ya ajabu? Hawa celebrate wanatabia ya kujilipua ili kuivuta attention kwa watu kama nyie......
Kwani mtu akijilipua akaenda zake kufuturu Dar Serena ndio muone ajabu kwani anaenda hapo kila siku???
Hata hivyo sioni kama ni sawa mwanamme kuwa bize kufuatilia maisha ya Demu????
 
Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
Wewe itakuwa unamfahamu Jack Mwanamuziki baada ya kufanya collabo na Bushoke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…