Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Hivi haiwezekani mtoto wa mengi akaendeleza?
 
Huyu mtoto nlipishana nae maeneo ya namanga kama unaenda masaki yuko kwenye range moja matata sana na kwa uzuri ule akili ilistack ukawa inajiuliza "hivi umeona kitu gani vile" mpaka gari ilivyofika mbuyuni ndio akili inarudi umemwona mke wa tajiri, aisee kuna kipindi mengi alikuwaga na hela kuliko cr7 so technically alikuwa anaweza kumpa jack goodtime kuzidi goodtime alizokuwa anapewa demu wa cr7. Hatari sana...
 
Unaongelea huyu gold digger aliyemuingiza mzee Meku kwenye matatizo hadi akafa kiutatanishi?
 
Dollar 100 tu jamani? Kuna wadada hapa bongo wanavaa mawigi ya milioni na zaidi.
Niliona yule dada aliekamatwa juzi kati hapa kuhusu kutapeli watu akionyesha chumba chenye pochi na viatu. Akawa anasema yeye hicho chumba ni viatu na pochi za mwezi mmoja, mwezi ukiisha vinarudishwa stoo vinaletwa vingine.

Ajabu mtu kama huyo alishindwa kupata dhamana kwa kukosa million 50
 
Bila shaka utakuwa unafanya kazi TISS
 
Watanzania walivyowambea wanazungumza mpaka ya chumbani ati mzee alikutana na mauno feni...🤣
 
Alibahatisha tu
Ht kina Jojo, mercy,nk walipita Kwa Mzee😅bila kusahau Lita so unajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…