Jacob Zuma aliishi miaka 12 Zambia na Msumbiji, sasa anaunga mkono Xenophobia

Leo anaunga mkono kufukuzwa wahamiaji kama mbwa
 
Nini yalikuwa maazimio ya kongamano hili
 
Aibu sana, historia itatoa hukumu

Cc Mahondaw, Smart911
 
Zuma the hypocrite,!A pure thief with a bald head.Ile familia ya wahindi wezi alivunja urafiki nao au bado wapowapo sana!?
 
Nini yalikuwa maazimio ya kongamano hili
TOKA MAKTABA:
Gauteng, South Africa
25 July 2025

MADA : KULINDA MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, PIA KUBADILIKA VINAENDANE NA CHANGAMOTO ZA VIJANA ILI VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI

Kubaki madarakani kwa mbinu zote pamoja ya kuwa GenZ Mozambique, Tanzania, Angola na kule South Africa vijana wa Anti-Immigrants wanataka kuviondoa vyama dola vya ukombozi ila wazee wa ANC, CCM, MPLA, FRELIMO wanaita wimbi hilo la kudai mabadiliko ya kuviondoa vyama kongwe ni changamoto ndogo.

Na kuwa kuwa wakongwe wa ukombozi wa nchi hizo za Mozambique, Tanzania, Angola na South Africa wanajipanga upya kuvutia GenZ na Vijana wanaotumika na 'mabeberu' !

CCM october, 2025, FRELIMO october 2024 wakaua watu, ANC november 2026 wanabadilisha gia
angani kufurusha wahamiaji haramu
 
Asante
 
Tukisema wanasiasa ni kama ma.a.ya na opportunistic mnatukatalia!
 
I think,
Africans should take that as an opportunity to address their issues at their home countries and rebuild their home countries, instead of blaming South Africans, who are united in defending their country against non South Africans 🐒
It pains me so much kukiri kwamba kwa hili upo sahihi, considering msimamo wako kindezi wa kijani 🤣 🤣
 
Alikuwa anawindwa na Makaburu kama Maria anavyowindwa.
Kila mtu anaexcuse zake, siyo kwamba zake yeye Zuma ndiyo za maana sana. Wenzake nao wanakufa njaa huko kwenye nchi zao ndiyo maana wanakimbia. Wakambizi wa kiuchumi.
 
Siku sio nyingi hiyo dhambi itamtafuna ukizingatia waliwakaribisha waparestina watakatachofanywa hawatamini
 
Ubaguzi wanatafutiaga tu ugali na kurudi kwenye viti vyao vya kisiasa
 
Hao ndo wanasiasa.
Mjinga mmoja ni mjinga 1
Wajinga 10 ni wajinga 10
Wajinga 100 ni wajinga 100
Wajinga 1000 ni chama cha siasa.
 
28 June 2026
Mondlane - Vyama vya Ukombozi Ndiyo Sababu ya Umasikini ktk Nchi Zao Na Raia Kuwa Wakimbizi wa Kiuchumi na Ajira

MONDLANE - KUNA HITAJIKA MAANDAMANO KTK NCHI ZA SADC KUPINGA UMASIKINI

View: https://m.youtube.com/watch?v=x4fIC8B1YgQKiongozi wa upinzani wa Msumbiji Venâncio Mondlane ameunga mkono maandamano yaliyopangwa Jumanne 30 Juni 2026 dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali katika sehemu za Afrika Kusini.

Mondlane anasema anaelewa kukatishwa tamaa kunakoonyeshwa na Waafrika Kusini wengi lakini anasema kwamba changamoto ya uhamiaji haiwezi kutatuliwa isipokuwa nchi jirani zishughulikie masuala ya kiuchumi na utawala yanayowasukuma watu kuondoka katika nchi zao.

Anasema suluhisho za kudumu zinahitaji ushirikiano mkubwa wa kikanda SADC na uwajibikaji


28 June 2026
Regional solutions key to migration challenges - Mondlane

Mozambican opposition leader Venâncio Mondlane has weighed in on Tuesday's planned demonstrations against undocumented foreign nationals in parts of South Africa. Mondlane says he understands the frustrations expressed by many South Africans but argues that the migration challenge cannot be resolved unless neighbouring countries address the economic and governance issues driving people to leave their home countries. He says lasting solutions require greater regional cooperation and accountability
 
I think,
Africans should take that as an opportunity to address their issues at their home countries and rebuild their home countries, instead of blaming South Africans, who are united in defending their country against non South Africans 🐒
Kwa wakati huu wa Utandawazi ni changamoto kupinga uwepo wa foreignera, abda hao foreigners kama wanakiuka utaratibu na Sheria za nchi ya South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…