Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Mkuu nakuhakikishia jumba la Moshi na Moshi yote Jack hatakanyaga tena. Kwa Mila za kichagga hasa Machame ukishaingia Mahakamani huwezi kuchangamana tena. Hivi unakumbuka hata kumbukumbu ya mwaka mmoja kifo cha Mengi ilifanywa na wale marafiki zake na watoto wakubwa Moshi na Jack hakutia mguu? Hata kaburini hatakiwi. Kifupi ameshajifukuzisha mwenyewe. Pole zake.
 
Ata huku aitambui popote kupata kitu wale watoto ndio wanatambulika akuna kitu anapata kwa kifupi habari yake imeisha hapo
 
Kwamba mali zote wanyanganywe yaaani kila kitu mpaka umiliki wa BONITE BOTTLERS LTD HAPA MOSHI , apewe yeye tuu ziwe mali zake amiliki pamoja na dada yake kylin !!!


Na atakae pinga apewe fidia ya alfu moja tuu mahakamani , yaaani akishinda tuuu mshindi apewe fidia ya alfu moja tuuu

Duh........

DDah hiii ni hatariii sana yaaaani
D
 
Makubwa haya. Alitaka kwenda kuziweka dukani auze designer suits. Yaani eti hata mtoto wake mkubwa asipewe koti la urithi. Huyu Danga ni mjinga mno.
Alisahau mila na tamaduni za kichagga[emoji23][emoji23]
 
Nilivyosoma mara ya kwanza sikuamini Kama ndio hosia wenyewe nilijua utani baada ya kuona hivyo vipengele
 
INGEFAA WALE WATOTO WA MKE WA KWANZA WAITISHE PRESS CONFERENCE IKIWA LIVE KABISA MAAAAANA ITV NI YA MENGI ILI KUELEZEA NI LINI BABA YAO ALIACHA MAJUKUMU YA KIOFISI AKAWAKABIDHI WAO KUENDESHA NA KUSIMAMIA MALI NA BIASHARA ZOTE , NA KUELEZA UMMA KUWA EVERYTHING IS UNDER CONTROL
 
Wale ni wasiri sana yani kwenye maisha ya baba yao yote nimekuja kuwaona kwenye msiba
 
Nilivyosoma mara ya kwanza sikuamini Kama ndio hosia wenyewe nilijua utani baada ya kuona hivyo vipengele
WALE WATOTO WAKUBWA NI MATURED ENOUGH TO HANDLE HARD TIMES LIKE THIS ,JE NI KWANN WASIJE ITISHA PRESS CONFERENCE KUELEZEA NI MWAKA GANI BABA YAO ALIWA KASIMISHA MAJUKUMU YA MALI ZOTE NA BIASHARA ZOOOOTEE ............HII ITASAIDIA KU MAKE SENSE ASEEEEEEEEEEEEE
 
Hahahaaa eti "Danga Jack Ntubaliwe"!
 
Sasa kwanini huyo Wakili asikatae hilo?
 
Familia ya media Ila haijawahi hata siku Moja kutumia media kwenye private matters. Hata kwa sasa business matters ziko handed na waliowaajiri katika nafasi zao na wako independent. Kifupi malezi ya watoto wakubwa wa marehemu Mengi ni Exceptional.
 
Familia ya media Ila haijawahi hata siku Moja kutumia media kwenye private matters. Hata kwa sasa business matters ziko handed na waliowaajiri katika nafasi zao na wako independent. Kifupi malezi ya watoto wakubwa wa marehemu Mengi ni Exceptional.
 
hakuna slay alishawahi kuwa na akili, zote zinahamiaga kwenye sehemu za siri. they have nothing else to offer than sex.
 
Wale ni wasiri sana yani kwenye maisha ya baba yao yote nimekuja kuwaona kwenye msiba
*IN HARD TIMES LIKE THIS. THEY NEED TO STAND STRONG IN THE MATTER TO PROTECT THE LEGACY OF THEIR FATHER , MAANA WAKILALA TUUU HAPA HILI BONITE BOTTLERS LTD LITA BAKI MAGOFU NA WALE WAHINDI WALIO AJIRIA KAMA. MANAGERS WA KIWANDA NAO WATAONDOKA ,



SIE WATANZANIA TUNAJUA KWAMBA MAREHEMU ALIACHA MAJUKUMU YA KIOFISI KWA WANAE WAKUBWA HASA YULE WA KIUME , MAANA SIKU YA MSIBA ALISIMAMA KAMA REAL GENTLEMAN TO RESPECT HIS DAD LEGACY


ILA DAH UKIANGALIA KUNA KITU NYUMA YA PAZIA TULICHOFICHWA SIE WATANZANIA PIA DAH........(NGOJA NIISHIE HAPA)*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…