Mutie alivyokufa walisema Marehemu kaacha mtoto wa miaka km sio 6 au Saba ..loohh..mmmetoa Siri MiyeeMutie alikuwa na mtoto?[emoji15][emoji15][emoji848]
MweeeUlikuwepo humu ule wosio ngoja niutafute[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]yaani mambo meusi kweli kila kitu mpk vijiko yaani vyoote vya kwake na wanawe wale wengine haviwahusu kabisaa yaani tajiri mpk vijiko na boksa kaweka urithi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weeee...mutie kala maisha weweeee yule ndo kafaudu kaishi kidogo ila Kainjoiii mnooo...!!!enzi zile mbona kafaidi sanaHiyo combo ya mmachame na wale watoto wa mrema yewooomii[emoji23][emoji23][emoji23] wameng'a matairi yote mrs mrema ameishia kubaki na panki lake la kimo cha ndege my friend
Stuli 1mYaaaah ilikuwa ndani ya ammorete hio [emoji38] sidhan hata king furniture anazo kama hizo
🤣🤣🤣😂😂😂Yani wachaga wote wanajiona ni warithi wa hizo mali,,
Hahahah...kagruop kufilia kuleeeeMwizi anakimbizwa kimya kimya yoweee anapiga yy[emoji2][emoji2][emoji2]yaaani simpatii picha angekua boss lady kwa sasa n kuvaa nguo nyeupe na kuzurura tuu madam wa kile kigroup chao sijui limefia wap tokea mzee kafa.
[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Alivyo mpuuzi.kang'ang'ania jina la Mengi kalikana hadi jina la baba yake.Huko mwanzoni alianzisha Foundation ya Dr Ntuyabaliwe baadae kaitelekeza kaamua kujishikiza kwa Wamachame yeye na Dada yake ili wawadangie vizuri The Mengi's.Utakuta hata jina la dada mtu anaitwa Shimi Mengi [emoji3][emoji3]
Wee.... mashallah Mungu amjaalie jamani waoane ila Jack anawavuruga mnoo Hawa watu baasi tuu,anawapotezea sana timing sijui lengo lake niniNa Hii ya Abdiel kubambikiziwa unga na Yusuf Manji akiwa safarini kuelekea India ndio ilimpoteza Abdiel kwenye Macho ya watu akapunguza Marafiki kwa usalama wake kabla ya hapo Abdiel alikua ni mtu wa kula bata na Marehemu Mutie ukienda slipway jumapili alikua hakosekani na Oystebay shopping Centre haumkosi jumamosi , viwanja vyote vya Starehe alikua hakosi ijapokua hatumii kilevi Mpaka sasa
Kukosa misiba iliyofululiza ya baba na Mama Yao , Maangaiko ya case , kurogwa , kuvulugwa kichwa Miku angeoa mwaka juzi kwa Kua Abdiel anafanya mambo yake kwa Siri sana chini chini Sita weka details za mwanamke aliemkaa Abdiel kwenye moyo nilioneshwa na binamu yake very decent Lady ,Sio slay queen , ana sifa za Kua mke na yeye ni mpole na msiri pia wa mambo yake very low profile , Financially Stable mara ya kwanza nilikutana na huyo Binti Duka flani kubwa London, England akalipia Bill yangu na Ya kwake pasipo kumuomba
Angekua anajua taratibu za ugawaji wa vitu kama hivyo uchaggani asingethubutu kufanya huu ujingaKweli Mengi ndio wakuandika eti viatu vyote watavaa watoto wake wadogo? Wasubiriwe wakikua watavaa hapana sii sawa
[emoji23][emoji23][emoji23] wana stelesiii. Ubilionea bye bye. Tunamsubiria mjukuu wetuWarundi na waha roho zinawapwita baada ya hii hukumu.Tuwahurumie tu kwa kweli,siyo kwa hasira walizonazo,hawachelewi kutuletea Intarahamwe hapa japo tutawachakaza hadi wapotee kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hii foundation ilikuaje ikaangukia mikononi mwake? Halafu hata mtu aniue, sintokaa kamwe nibadilishe jina la babangu kuwa mume wangu. Yeye ndo alimkojolea mamangu? Very stuppid. Siku hizi wengi wameamka aisee. Enzi hizo kila mtu kabadili majina ya babake kwenda kwa Mr. Kuna haki zingine unapoteza hivihiviAlivyo mpuuzi.kang'ang'ania jina la Mengi kalikana hadi jina la baba yake.Huko mwanzoni alianzisha Foundation ya Dr Ntuyabaliwe baadae kaitelekeza kaamua kujishikiza kwa Wamachame yeye na Dada yake ili wawadangie vizuri The Mengi's.Utakuta hata jina la dada mtu anaitwa Shimi Mengi [emoji3][emoji3]
Oyooooooooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Na Hii ya Abdiel kubambikiziwa unga na Yusuf Manji akiwa safarini kuelekea India ndio ilimpoteza Abdiel kwenye Macho ya watu akapunguza Marafiki kwa usalama wake kabla ya hapo Abdiel alikua ni mtu wa kula bata na Marehemu Mutie ukienda slipway jumapili alikua hakosekani na Oystebay shopping Centre haumkosi jumamosi , viwanja vyote vya Starehe alikua hakosi ijapokua hatumii kilevi Mpaka sasa
Kukosa misiba iliyofululiza ya baba na Mama Yao , Maangaiko ya case , kurogwa , kuvulugwa kichwa Miku angeoa mwaka juzi kwa Kua Abdiel anafanya mambo yake kwa Siri sana chini chini Sita weka details za mwanamke aliemkaa Abdiel kwenye moyo nilioneshwa na binamu yake very decent Lady ,Sio slay queen , ana sifa za Kua mke na yeye ni mpole na msiri pia wa mambo yake very low profile , Financially Stable mara ya kwanza nilikutana na huyo Binti Duka flani kubwa London, England akalipia Bill yangu na Ya kwake pasipo kumuomba
Naanto mbeeHii case Jack kama ikionekana atashinda.. ataambulia kupata urithi wa makampuni yaliyofilisika.. sana sana atarithi madeni.
Wakati huu yupo Dubai.. kuna watu hawalali kuangalia namna ya kuchepusha mali..
Kiufupi Jack alivyoandika wosia feki na kuanza harakati za kesi.. ndo imemuharibia.. atashindwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa!
Haka kajukuu ndo kataishi kwa raha mustarehe maisha yake yote hapa duniani.. yaan kanapata joto kila mahali. Hata mimi kwa mbaaali nimekakumbatia[emoji23][emoji23]Najuta mmetoa Siri Mutie alivyokufa mbona walimuonesha mwanawe enzi zile na wakasema ana 6 or seven years kwani hamkuwa mnafatiliaga msiba ya Rodney?
Halafu yule dogo nadhani Yuko Shule sema kulikuaga hakunaaa utube kipindi kile na walikua wanakaonesha enzi za Msiba mbona Yuko na bibi yake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Obvious. Kala sana bata. Sijui nani alimwachia wadudu maskini. Huyu fala leo hii asingekua anatuletea huu ujingaWeeee...mutie kala maisha weweeee yule ndo kafaudu kaishi kidogo ila Kainjoiii mnooo...!!!enzi zile mbona kafaidi sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeandika neno la kinyumbani kabisa... Ambalo huthubutu kulitamka hadharani... Hivi umeshapata kipaimara?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miku ni jina la kimachame itakua aka ya abdiel nahisihuyo Miku ndo nani? na yeye alikuwa mtoto wa Mengi?