Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Mutie alikuwa na mtoto?[emoji15][emoji15][emoji848]
Mutie alivyokufa walisema Marehemu kaacha mtoto wa miaka km sio 6 au Saba ..loohh..mmmetoa Siri Miyee
Na alikua beneti kipindi Cha msiba na bibi yake na anko wake Abdiel na walikua wanamuonesha CHANEL 5 kale katoto labda kama alisingiziwa ila nadhani kumbukumbu zangu ziko sahihi kabisaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwepo humu ule wosio ngoja niutafute[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]yaani mambo meusi kweli kila kitu mpk vijiko yaani vyoote vya kwake na wanawe wale wengine haviwahusu kabisaa yaani tajiri mpk vijiko na boksa kaweka urithi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mweee
 
Hiyo combo ya mmachame na wale watoto wa mrema yewooomii[emoji23][emoji23][emoji23] wameng'a matairi yote mrs mrema ameishia kubaki na panki lake la kimo cha ndege my friend
Weeee...mutie kala maisha weweeee yule ndo kafaudu kaishi kidogo ila Kainjoiii mnooo...!!!enzi zile mbona kafaidi sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alivyo mpuuzi.kang'ang'ania jina la Mengi kalikana hadi jina la baba yake.Huko mwanzoni alianzisha Foundation ya Dr Ntuyabaliwe baadae kaitelekeza kaamua kujishikiza kwa Wamachame yeye na Dada yake ili wawadangie vizuri The Mengi's.Utakuta hata jina la dada mtu anaitwa Shimi Mengi [emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na Hii ya Abdiel kubambikiziwa unga na Yusuf Manji akiwa safarini kuelekea India ndio ilimpoteza Abdiel kwenye Macho ya watu akapunguza Marafiki kwa usalama wake kabla ya hapo Abdiel alikua ni mtu wa kula bata na Marehemu Mutie ukienda slipway jumapili alikua hakosekani na Oystebay shopping Centre haumkosi jumamosi , viwanja vyote vya Starehe alikua hakosi ijapokua hatumii kilevi Mpaka sasa

Kukosa misiba iliyofululiza ya baba na Mama Yao , Maangaiko ya case , kurogwa , kuvulugwa kichwa Miku angeoa mwaka juzi kwa Kua Abdiel anafanya mambo yake kwa Siri sana chini chini Sita weka details za mwanamke aliemkaa Abdiel kwenye moyo nilioneshwa na binamu yake very decent Lady ,Sio slay queen , ana sifa za Kua mke na yeye ni mpole na msiri pia wa mambo yake very low profile , Financially Stable mara ya kwanza nilikutana na huyo Binti Duka flani kubwa London, England akalipia Bill yangu na Ya kwake pasipo kumuomba
Wee.... mashallah Mungu amjaalie jamani waoane ila Jack anawavuruga mnoo Hawa watu baasi tuu,anawapotezea sana timing sijui lengo lake nini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Warundi na waha roho zinawapwita baada ya hii hukumu.Tuwahurumie tu kwa kweli,siyo kwa hasira walizonazo,hawachelewi kutuletea Intarahamwe hapa japo tutawachakaza hadi wapotee kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] wana stelesiii. Ubilionea bye bye. Tunamsubiria mjukuu wetu
Analindwa kwa wivu mkubwa sana. Jakline am soliii... shimi alikua anajiona mafia kwenye sinemaa[emoji23][emoji23]
 
Alivyo mpuuzi.kang'ang'ania jina la Mengi kalikana hadi jina la baba yake.Huko mwanzoni alianzisha Foundation ya Dr Ntuyabaliwe baadae kaitelekeza kaamua kujishikiza kwa Wamachame yeye na Dada yake ili wawadangie vizuri The Mengi's.Utakuta hata jina la dada mtu anaitwa Shimi Mengi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hii foundation ilikuaje ikaangukia mikononi mwake? Halafu hata mtu aniue, sintokaa kamwe nibadilishe jina la babangu kuwa mume wangu. Yeye ndo alimkojolea mamangu? Very stuppid. Siku hizi wengi wameamka aisee. Enzi hizo kila mtu kabadili majina ya babake kwenda kwa Mr. Kuna haki zingine unapoteza hivihivi
 
Na Hii ya Abdiel kubambikiziwa unga na Yusuf Manji akiwa safarini kuelekea India ndio ilimpoteza Abdiel kwenye Macho ya watu akapunguza Marafiki kwa usalama wake kabla ya hapo Abdiel alikua ni mtu wa kula bata na Marehemu Mutie ukienda slipway jumapili alikua hakosekani na Oystebay shopping Centre haumkosi jumamosi , viwanja vyote vya Starehe alikua hakosi ijapokua hatumii kilevi Mpaka sasa

Kukosa misiba iliyofululiza ya baba na Mama Yao , Maangaiko ya case , kurogwa , kuvulugwa kichwa Miku angeoa mwaka juzi kwa Kua Abdiel anafanya mambo yake kwa Siri sana chini chini Sita weka details za mwanamke aliemkaa Abdiel kwenye moyo nilioneshwa na binamu yake very decent Lady ,Sio slay queen , ana sifa za Kua mke na yeye ni mpole na msiri pia wa mambo yake very low profile , Financially Stable mara ya kwanza nilikutana na huyo Binti Duka flani kubwa London, England akalipia Bill yangu na Ya kwake pasipo kumuomba
Oyooooooooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Dawa ni waoane mabilionea kwa mabilionea siyo hivi visjambo[emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAYA TUME AMKA ILI TUENDELEZE HII HABARI , WANA JUKWAA. , ILA DAH UKIOA MKE MWEUPE KICHWANI TABU TUUUU !?????
 
Najuta mmetoa Siri Mutie alivyokufa mbona walimuonesha mwanawe enzi zile na wakasema ana 6 or seven years kwani hamkuwa mnafatiliaga msiba ya Rodney?
Halafu yule dogo nadhani Yuko Shule sema kulikuaga hakunaaa utube kipindi kile na walikua wanakaonesha enzi za Msiba mbona Yuko na bibi yake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haka kajukuu ndo kataishi kwa raha mustarehe maisha yake yote hapa duniani.. yaan kanapata joto kila mahali. Hata mimi kwa mbaaali nimekakumbatia[emoji23][emoji23]
 
apambane na hali yake maana aliyataka mwenyewe alidhani kuua kile kizee ndio angepata mali, imekula kwake hao machame watamuua mchana kweupeeeee, yeye aendelee na kudanga tu kiufupi imeshakula kwake
 
Back
Top Bottom