Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi.
uenda hata leo mengi akifufuka atalalamika kwanini wosia wake haufuatwi.hatujui mengi na jack walipeana Nini mpaka wakaandikiana ule wosia.yote kwa yote mwanamke ANA NGUVU.
 
Jack bana anakosea sana.izo Mali alizikuta kwann asirizike na alizotafuta kipind yuko naye...yan mm ndo ningekuwa Jack nisinge hangaika hata ningerizika nachopewa. Mali zawatu zitatoa roho watu. Hata mambo ya mahakamn nikaachana nayo chamuhimu watoto watasoma shule nzur namalaz mengine ntapambana mwenyewe
 
Nusu ipi mwaego[emoji23][emoji23] si rahisi kihivyo. Kwa sheria ipi kwanza. Hakunaga hiyo aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wenyewe kila siku mahakamani tyuuh, hela za kuwalipa mawakili wanazo nyingi eeeh? Si bora wagawane kila mtu afe na chakeee uwiiii.

Sasa hapo mbna wanafaidi na wasio husika, lol
 
Elimu kidogo 25% za watoto wakubwa wamezipataje?
 
Saa zingine sheria haziko fair, watu watafute mali kwa miaka mingi halafu dada mmoja aliyekaa na mzee miaka mitano akombe asilimia kubwa ya mali kuzidi ndugu wa marehemu? Kwanini sheria isiamrishe tu malezi ya watoto?

Nashindwa kumlaumu Jack, nashindwa kuwalaumu wana familia.

Tuna sheria za hovyo
 
Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Hapa ndo shida ilipo. Jack hata akipewa 1% tu ya mali za Mengi si haba

Tamaa mbaya
 
Mirathi sio sheria ya serikali tu.
Ipo kwenye dini,ipo kwenye Mila.
Wewe una mke wako unampenda umekufa umeacha Mali na umemuachia na watoto.
Ungependa kuona huyo mwanamke wako asirithi Mali zako?tena utamu wake unaujua wewe marehemu?
Haya mambo ya mirathi ni mazito.
 
Elimu kidogo 25% za watoto wakubwa wamezipataje?
Kabla mke mkubwa hajadedi walikuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mrama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwa
 
sasa mbona wosia wa mzee mengi kuwapa Mali zote watoto wake mapacha mnaukataa?
Sababu hata hao hyo 25% walipewa kabla baba na mama yao kufariki.
Kabla mke mkubwa hajadedi walijuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wenyewe kila siku mahakamani tyuuh, hela za kuwalipa mawakili wanazo nyingi eeeh? Si bora wagawane kila mtu afe na chakeee uwiiii.

Sasa hapo mbna wanafaidi na wasio husika, lol
Anayeenda mahakamani ni nani sasa kuwapeleka wenzake
 
sasa mbona wosia wa mzee mengi kuwapa Mali zote watoto wake mapacha mnaukataa?
Sababu hata hao hyo 25% walipewa kabla baba na mama yao kufariki.
Sijui shida iko wapi kuelewa. Zile 25% Zilikuwa halali kwa watoto, sio za urithi. Sasa baba kafa watoto wote wana haki sawa ya kurithi mali ya baba yao....

Sasa Jakie anataka akombe zote....
 
nadhani hata Mimi haujanielewa.
Yaani kutengana kwa baba na mama watoto wanapewa vipi Mali?
yaani wanahusika vipi na kutengana kwa wazazi wao na Mali zao?
Uenda mzee mengi hakuwa na msimamo kwa wake zake.
Ndo maaana kumbe jack akataka aandikiwe ule urithi.
Yaani watoto wa kwanza Wana 25% peke yao.
Alafu hapo hapo Wana 37.5% urithi upande wa mama yao.
Pia bado Wana 37.5% upande wa baba yao.
Nimeanza kupata picha ya ule wosia wa BUKU BUKU.
Sijui shida iko wapi kuelewa. Zile 25% Zilikuwa halali kwa watoto, sio za urithi. Sasa baba kafa watoto wote wana haki sawa ya kurithi mali ya baba yao....

Sasa Jakie anataka akombe zote....
 
Kiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…