Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Shamesha mshukuu....Shkamoo babu[emoji23][emoji23]
Sha waokya mbee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamesha mshukuu....Shkamoo babu[emoji23][emoji23]
Sha waokya mbee
[emoji23][emoji23] haya mbeee.Shamesha mshukuu....
Huo wosia umemsadia nini? Huoni kama Mzee alijua fika kuwa atakwama na wosia wake kutoka kwa Advicates wa Kigogo? Makampuni ya IPP na Mengi mwenyewe miaka yote mwanasheria wao ni mmoja tu na anajulikana Michael Ngallo.Kama kweli Mzee alitaka kumpatia hizo mali basi Ngallo angehusika.Huoni mpaka hapo Mzee alimfanyia umafia akampa kile alitaka lakini akijua fika ataangukia pua.Kwanini Jack hakupata akili ya kumwambia Mzee amwandikie wosia kupitia kwa Mwanasheria wake wa siku zote?
Jack bana anakosea sana.izo Mali alizikuta kwann asirizike na alizotafuta kipind yuko naye...yan mm ndo ningekuwa Jack nisinge hangaika hata ningerizika nachopewa. Mali zawatu zitatoa roho watu. Hata mambo ya mahakamn nikaachana nayo chamuhimu watoto watasoma shule nzur namalaz mengine ntapambana mwenyeweMke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.
Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.
May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.
Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.
Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.
Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wenyewe kila siku mahakamani tyuuh, hela za kuwalipa mawakili wanazo nyingi eeeh? Si bora wagawane kila mtu afe na chakeee uwiiii.Nusu ipi mwaego[emoji23][emoji23] si rahisi kihivyo. Kwa sheria ipi kwanza. Hakunaga hiyo aisee.
Alitaka achukue zote... Kachemka
Watoto wakubwa wanashea 25%
Mengi na mke wa kwanza walikuwa na shea 75% ... Kwahiyo watoto wakubwa tayari wanashea 37.5 za mama yao.
Shea 37.5 za Mengi ndizo Jackie na watoto wake wanatakiwa wagawane na watoto wakubwa wa Mengi.... Maana nao wana haki kwa baba yao.
Kwa kifupi Jakie hana cha kuambulia kwenye shea 62.5 za watoto wakubwa wa Mengi.
Saa zingine sheria haziko fair, watu watafute mali kwa miaka mingi halafu dada mmoja aliyekaa na mzee miaka mitano akombe asilimia kubwa ya mali kuzidi ndugu wa marehemu? Kwanini sheria isiamrishe tu malezi ya watoto?Kwa hyo unataka kusema licha ya jack kuolewa na mengi Hana haki ya kurithi?hamuoni Kama no dhuluma kwa mjane?mzee alishajichanganya waangalie kilicho chake wampe waachane kwa amani.na hao watoto ni lazma walelewe na mama yao kupitia fedha za baba yao.hauwezi kusema mpaka wakue ndo wapewe . Nani atawasomesha?
Muongoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2004 ndio anazaliwa mjukuu wangu wa saba...
Hapa ndo shida ilipo. Jack hata akipewa 1% tu ya mali za Mengi si habaHata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Saa zingine sheria haziko fair, watu watafute mali kwa miaka mingi halafu dada mmoja aliyekaa na mzee miaka mitano akombe asilimia kubwa ya mali kuzidi ndugu wa marehemu? Kwanini sheria isiamrishe tu malezi ya watoto?
Nashindwa kumlaumu Jack, nashindwa kuwalaumu wana familia.
Tuna sheria za hovyo
Haya mani....[emoji23][emoji23] haya mbeee.
[emoji23][emoji23]Hata hilo jina la Mengi hatakiwi kulitumia
Tutafungua kesi nyingine.
Unaniharibia mishemishe zangu ujue...Muongoooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla mke mkubwa hajadedi walikuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mrama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwaElimu kidogo 25% za watoto wakubwa wamezipataje?
Kabla mke mkubwa hajadedi walijuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwa
Anayeenda mahakamani ni nani sasa kuwapeleka wenzake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wenyewe kila siku mahakamani tyuuh, hela za kuwalipa mawakili wanazo nyingi eeeh? Si bora wagawane kila mtu afe na chakeee uwiiii.
Sasa hapo mbna wanafaidi na wasio husika, lol
Sijui shida iko wapi kuelewa. Zile 25% Zilikuwa halali kwa watoto, sio za urithi. Sasa baba kafa watoto wote wana haki sawa ya kurithi mali ya baba yao....sasa mbona wosia wa mzee mengi kuwapa Mali zote watoto wake mapacha mnaukataa?
Sababu hata hao hyo 25% walipewa kabla baba na mama yao kufariki.
Hahaaaa...sio poaaa[emoji23][emoji23][emoji23] hakahaka ndo katakua. Ama pia ukute alikula mbususu ingine pia maana alikua mwingi kama unga wa ngano
Sijui shida iko wapi kuelewa. Zile 25% Zilikuwa halali kwa watoto, sio za urithi. Sasa baba kafa watoto wote wana haki sawa ya kurithi mali ya baba yao....
Sasa Jakie anataka akombe zote....
Kiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.nadhani hata Mimi haujanielewa.
Yaani kutengana kwa baba na mama watoto wanapewa vipi Mali?
yaani wanahusika vipi na kutengana kwa wazazi wao na Mali zao?
Uenda mzee mengi hakuwa na msimamo kwa wake zake.
Ndo maaana kumbe jack akataka aandikiwe ule urithi.
Yaani watoto wa kwanza Wana 25% peke yao.
Alafu hapo hapo Wana 37.5% urithi upande wa mama yao.
Pia bado Wana 37.5% upande wa baba yao.
Nimeanza kupata picha ya ule wosia wa BUKU BUKU.