Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Mzee mengi alimfumania mkewe.hii stori uwa haisemwi Sana.
Na nimemuuliza huyo jamaa mengi alikuwa na ndoa ipi wakati alishaachana na mkewe alipomfumania
...Nani alikuwa anamfumani Mwenzake, Mkuu? Hebu tutoholee Hapo Mkuu, tafadhali..
 
Uyo jack ni boya nambari moja kitendo cha kuwa na mengi ni connection tosha kwake kipindi kile alitakiwa awe milionea mda huu siyo kugombea mali na watoto, angeanzisha miradi ya mahana ya pesa nyingi mzee angekuwa ana mpush tu mpaka mzee kufariki muda huu angekuwa milionea ..yeye alijua ataishi na mengi milele[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu dada tamaa ya pesa itamfanya apoteze uhai. Amuulize yule mama aliyefariki juzi na wanae kwenye ajali ya gari.Infwakti Yule mama Immaculata Byemerwa kabla ya kuolewa na Engneer alikuwa na yuho mwanae Albert ambae ndo alikuwa dereva. Kaolewa kazaa Janet na Jolister.Na kumbuka kwamba alimkuta Josepahat ana watoto wakubwa .Sasa yule mama kapata ajali na kafariki na uzao wake wote. Kaacha watoto wa mzee wafaidi vizuri mali za baba na mama yao mzazi.
Jack acha tamaa.
 
Kwani marehemu alijua ataondaka lini duniani?? Vilevile watu wengi uamini wosia na cheti cha ndoa wakati wosia na cheti cha ndoa si chochote mbele ya mahakama labda tu awe ni mke mmoja.
Mtu anapoandika wosia maana yake anajua kuwa atakufa iwe leo au kesho. Na pia Mengi afya yake ilionekana wazi ina anaumwa. Mbona video zipo nyingi za mwisho mwisho akiongea na media anatetemeka na maneno alikuwa anapata shida kuyatamka. Ndio maana unaona hoja ya watoto wakubwa kwamba mzee alikuwa "unsound" inashinda kila uchao maana ni kweli mzee alikuwa na shida toka 2016. Kuna clip moja alikuwa anawapa misaada walemavu mbona alikuwa wazi anatetemeka na maneno hayatamki vizuri.
Wachaga wataendelea kumshinda huyo manzi siku zote.
 
Hausiki nazo wakati mzee alishajitia kitanzi Cha ndoa na watoto kazaa nae?hilo balaa lao wanalo.wakimkataa jack Kama mke wa baba yao watamkubali Kama mama wa wadogo zao.kiufupi jack hakwepeki
Hata hiyo ndoa mzee alishinikizwa tu.Sema wanae walitakiwa wapinge. Sema ndoa haikufungiwa Tanzania.
 
Write your reply...hata mimi ningekuwa kina Regina singekubali Mali aliyohangaikia Mama yangu iende kwa mchepuko never hata kama zinatafutwa ila nisingeweza kunyamaza.....Jack hajavuja jasho lolote haoni hata aibu....? yeye angesubiri kifungu Fulani cha kusapoti watoto wake lkn pasupasu hiyo hapana..
 
Haya , nimerudi , vipi hii sinema ilifikia wapi mara ya mwisho ( previously episode) .........
 
1. Hivi wanaume kwanini mnaendaga kuoa vibinti teke mkiwa kwenye seventies huko? Mnadhani kabisa wanawapenda? Yani watoto wako ambao wamesota na wewe mmeinuka wote wanakuja kugombea mali na kimwanamke ambacho hata hakijui bei ya glass hapo nyumbani ni sh ngapi?

2. Jacky anajikuta nani kudai mali kibabe hivyo? Shame on her. Mashume wenzie wanatetea eti ooh ni mke. Mke my foot. Ndo utake wingi wa mali hivyo? Wewe kama nani? Jacky doesn’t deserve hivyo. Bora afanyiwe child support ya mwezi na ada aende. Hakuna cha kampuni wala nini. Kampuni alianzisha nae?


I hate gold diggers
 
Muwe mnashauriana jamani. Ni mateso kwa wake zenu na watoto wanaobaki. Na unakuta mzee amezaa nje kama fungo. Yani kila Kijiji ana mtoto na hivyo sheria imetoka kwamba hata watoto wa michepuko wana haki. Yaani nyumba ya mzee itapigwa bei wagawane watoto wote. Ni mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…