Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

SEASON 1 :
ILIKUWA YA SHOW OFF YA. MAREHEMU PLUS. THE GREATEST GOLD DIGGER , SHOW OFF YA MATANUZI KAMA YOTEEEEEEE PLUS. VITIMBI VYA KUJIDAI MITANDAONI NA KU-SHOW MATANUZI MARA DUBAI MARA PARIS.... HUKU WAZEE WA KEYBOARD TUKISHANGAAA TUU YALIYOMO YAPOOOOOOOOOOOOOO

SEASON 2 :
ILIKUWA YA MAJONZ8 PLUS SINEMA KAMA ZOTE KATIKA KIPINDI CHOOOOOOOTE CHA MSIBA. KUTASHANGAA MAREHEMU ANARUDI KAMA CARGO BAADA YA KUONDOKA KAMA VVVVVVVVVVVVIP. KWENYE HIGH LUXURY PLANE. KILA KILICHOJIFICHA HAPA TULIKIONAAAAAAAAA

SEASON 3:
HAPA NDO MSALA UKAAAAAAANZA WA SEASON ILIYOPITA ASEEEEEEEEEEE KAMA MALI INAVYOTAFUTWA KWA UDI NA UVUMBA , HAPA MALI IKAWA INA TAFUTWA KWA MAKARATASIIII MI SAINI YA MICHONGOOOOOOOOO. BILA KUTOA JASHO ASEEEEEEEE EEEE UZURI HII SEASON BADO INA ENDELEA SOO TUIANGALIE SISI WAZEEE WA KEYBOARD.......
 
Sawa.nielimishe sasa.familia ya mengi inamkwepa vipi jack.na ukimbuke kuwa jack kaolewa na ndoa ya kanisani na hawakuachana na watoto wamezaa na mengi.

Nani amekwambia wanafamilia wanamkwepa huyo kahaba
 
Shida inaonekana upande wa Mengi wanamzingua. Unakumbuka waligoma kuwasomesha watoto wa Jack?

Wanamsomesheaje watoto wakati hawazalishi wanashinda Mahakamani na case ya Msingi ilikua bado haijatolewa hukumu kwa hiyo kulikua hakuna msimamizi wa Mirathi na akawapandishia case Nyingine ya madai ya child support mabilioni ningekua mimi hapa nisingelipa ada pia
 
Huyu dada tamaa ya pesa itamfanya apoteze uhai. Amuulize yule mama aliyefariki juzi na wanae kwenye ajali ya gari.Infwakti Yule mama Immaculata Byemerwa kabla ya kuolewa na Engneer alikuwa na yuho mwanae Albert ambae ndo alikuwa dereva. Kaolewa kazaa Janet na Jolister.Na kumbuka kwamba alimkuta Josepahat ana watoto wakubwa .Sasa yule mama kapata ajali na kafariki na uzao wake wote. Kaacha watoto wa mzee wafaidi vizuri mali za baba na mama yao mzazi.
Jack acha tamaa.
Jazia jazia nyama Da Victoire, ilitoke lini hiyo ajali na nini haswa chanzo cha hiyo ajali hadi huyo Mama kuacha mali za Watoto aliowakuta na Mumewe?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada tamaa ya pesa itamfanya apoteze uhai. Amuulize yule mama aliyefariki juzi na wanae kwenye ajali ya gari.Infwakti Yule mama Immaculata Byemerwa kabla ya kuolewa na Engneer alikuwa na yuho mwanae Albert ambae ndo alikuwa dereva. Kaolewa kazaa Janet na Jolister.Na kumbuka kwamba alimkuta Josepahat ana watoto wakubwa .Sasa yule mama kapata ajali na kafariki na uzao wake wote. Kaacha watoto wa mzee wafaidi vizuri mali za baba na mama yao mzazi.
Jack acha tamaa.
Kwahiyo mama byemerwa kapotezwa kiaina?
 
WE ENDELEA KUWA NA NDOTO ZA "KUFANYA" NA VIZEE ILI KUJA KURITH MALI KWA GIA YA UJANE.
UKIKUTANA NA VIZEE SMART IMEKULA KWAKO.
WATU WAKO KWENYE BIASHARA YA BABA YAO KABLA HUJAZALIWA LEO UJE KUBEBA VYAO!!..
 
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.

Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.

May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.

Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.

Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.

Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA

Ila jack nae alitia fora eti atakaepingq wosia huo apewe buku kweli dada ukasahau kama watoto wakubwa wapo ukawanyima mpaka nguo za baba yao....
 
Mengi mara baada ya uchaguzi wa 2015, ule mwaka wa 2016 aliugua sana na hata uwezo wake kiakili ulipungua. Mengi alikuwa siyo mtu wa kujirekodi clip za video na kurusha kwenye mitandao eti akijiapiza kuwa anampenda sana huyo mwanamke.
Kwa kweli hiyo ni roho ya ukatili roho mbaya kabisa kila kitu urithi wewe! Wewe ulimuona huyo Mzee ana kila kitu amechuma na mke mkubwa yaani wewe uchukue tu...
 
Mkuu uzuri watoto watakuwa watu wazima watajiunga na ndugu zao. Hao watoto kwa wachagga hawataachwa na urithi watapewa kabisa maana hata shule walikuwa wanasomeshwa vizuri? Alipotaka kwenda kuishi Dubai kwa lile Danga lake ndiyo akaleta bill ya Ada ya kutupwa na familia Ika stop ushenzi huo. Yaani kukekule alikofia Baba yao na kulekule ambako walimkuta hayuko na mgonjwa!!!! Ndiko huko alipanga kupeleka watoto na yeye kuishi huko.
Kwa hiyooo.. alitaka akimbie nchi? hakuna kutoroka....
 
Back
Top Bottom