Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Sasa bhasi hizo Asilimi 37.5% ilibidi jack agawane nusu kwa nusu na watoto wa mengi alafu yeye asimamie hisa za wanae.. Sema pia hao watoto wa Mengi ni walafii sanaaa kama walishapata za Mama yao ambazo kimsingi katafuta baba yao why wawe warohoo wakutaka na hizo zilizobaki kwa baba yao wakati baba yao alishawapa Urithi wa zile percent 25??? Ulafi ulafii tuu
25% haipo kwenye orodha ya urithi, kwanza pengine hata wasingezitaka hizo shares za baba yao, au wangechukua kidogo tu ili ku secure zaidi share zao na kuwaachia zingine zote wadogo zao, ila dawa ya kiburi jeuri, Jacky akaamua kwenda kuwashtaki mahakamani na ule wosia wake fake, hapo hata kama ni mimi yani sikuachii kitu, hata kama nilitaka kukufanyia favor flani kwa huruma ya watoto nitacancel, nitakubadilikia na kukushukia kama mwewe, kama alikua na nia nzuri Jacky angewaomba kifanyike kikao cha familia, wazungumze waelewane, ila pia angehitaji kutulia kwanza mambo yapoe, ila yeye alianza vimbwanga kabla haya mzee hajazikwa, ukiunganisha na utata wa kifo cha mzee, basi wamachame wote walikua wanahasira nae, angetafta wazee kwenye ukoo wa mengi wagulize hali, then wakae chini wazungumze, wala hata siri za hiyo familia zisingetoka nnje kwenye mitandao, ila sasa hivi kila mtu anafatilia, ameharibu kwa tamaa zake, apambane tu na hali yake.
 
Kabla mke mkubwa hajadedi walikuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mrama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwa
MKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.
KAMA HIZO KAMA HIZO 25% WALISHAPEWA WATOTO TANGU HATA YA JACK KUINGIA KATIKA HIZO 25% JACK HAPO HANA KWA HIO ZIMEBAKI 75% HIZO NDIZO ZINAZOGOMBANIWA.
TENA HATA WATOTO WA JACK HAPO HAWAWEZI PATA COZ WALISHAPEWA HATA WATOTO HAWAJAZALIWA.
 
MKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.
KAMA HIZO KAMA HIZO 25% WALISHAPEWA WATOTO TANGU HATA YA JACK KUINGIA KATIKA HIZO 25% JACK HAPO HANA KWA HIO ZIMEBAKI 75% HIZO NDIZO ZINAZOGOMBANIWA.
TENA HATA WATOTO WA JACK HAPO HAWAWEZI PATA COZ WALISHAPEWA HATA WATOTO HAWAJAZALIWA.
Mengi alibakina na 37.5 so hizo ndo Jack azipambaniee ila hizo zinginee hawezi pata hata 100
 
Mimi ninavyojua wazazi wakitengana.wanagawana wao kwa wao wazazi.haya mpaka watoto wanapewa mganyo mapya.
Sijawahi kuona watoto wakipewa Mali wakati wazazi wao wametengana.
Kwa hyo kujaza wino kwenye peni ndo wamepewa 25% ?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mimi nipo upande wa wosia WA BUKU BUKU.
MKUU KAMA WALIPEWA NA USHAHIDI UPO HIZO NI ZA KWAO TAYARI HAPO HAKUNA KIPINGAMIZI.
MFANO KAMA KAMA BABA NA MAMA WALIJENGA NYUMBA 3 NA WAKAPATA MTOTO 1, WALIPOACHANA WAZAZI WAKAGAWANA NYUMBA MOJA MOJA , NA YA MWISHO WAKAMPA MTOTO WAO 1.
LAKINI BABA AKAOA MWANAMKE MWINGINE NA KUCHUMA MALI FLANI. LAKINI
BABA AKAFALIKI ,
SASA UNATAKA KUNIAMBIA MKE WA PILI WA HUYO BABA ANAWEZA AKADAI NYUMBA YA HUYO MTOTO WALIOPEWA NA MAMA NA BABA YAKE BAADA YA KUACHANA?
 
MKUU KAMA WALIPEWA NA USHAHIDI UPO HIZO NI ZA KWAO TAYARI HAPO HAKUNA KIPINGAMIZI.
MFANO KAMA KAMA BABA NA MAMA WALIJENGA NYUMBA 3 NA WAKAPATA MTOTO 1, WALIPOACHANA WAZAZI WAKAGAWANA NYUMBA MOJA MOJA , NA YA MWISHO WAKAMPA MTOTO WAO 1.
LAKINI BABA AKAOA MWANAMKE MWINGINE NA KUCHUMA MALI FLANI. LAKINI
BABA AKAFALIKI ,
SASA UNATAKA KUNIAMBIA MKE WA PILI WA HUYO BABA ANAWEZA AKADAI NYUMBA YA HUYO MTOTO WALIOPEWA NA MAMA NA BABA YAKE BAADA YA KUACHANA?
Tusaidie ndugu kumwelewesha,maana ameshupaza shingo mpaka tukaachana nae
 
Kumbe uenda tuna muhukumu jack bure.kumbe wale watoto Wana 25% kibindoni tena sio za urithi.
Bado 37.5% za mama yao.
Ndo maana mzee mengi akaandika wapewe BUKU BUKU.
kea sababu hawa watoto wa mengi wawili wakubwa watawazidi wenzao.
Ndo maana mengi akaamua 37.5% za kwake warithi wale mapacha wake.
MKUU KAMA WATOTO WA MENGI WALIPEWA KABLA YA BABA YAO KUFA , KWANI WALIPOPEWA HAO WAKUBWA ILIKUWA NI URITHI?
NA KAMA HAUKUWA URITHI WALIPEWA TUU BASI STILL WANA HAKI KATIKA HIZO 37.5%.
 
MKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.
KAMA HIZO KAMA HIZO 25% WALISHAPEWA WATOTO TANGU HATA YA JACK KUINGIA KATIKA HIZO 25% JACK HAPO HANA KWA HIO ZIMEBAKI 75% HIZO NDIZO ZINAZOGOMBANIWA.
TENA HATA WATOTO WA JACK HAPO HAWAWEZI PATA COZ WALISHAPEWA HATA WATOTO HAWAJAZALIWA.
Katika hiyo 75% iliyobaki,Baba na Mama walikuwa nusu kwa nusu pia.Maana yake ondoa tena nusu ya 75% ya Mkewe Mercy inayobaki sasa ndiyo ya Mzee na hiyo ndiyo anapaswa kusubiri mgao wake na watoto wake
 
Tusaidie ndugu kumwelewesha,maana ameshupaza shingo mpaka tukaachana nae
OK MKUU SHERIA YA TANZANIA INASEMA KILA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA WAZAZI WAKE HATA WA NJE ILA AWE ANATAMBULIKA , NA WATOTO WA MENGI WANATAMBULIKA, NA SERIA INASEMA, MTOTO AKIWA CHINI YA UMRI WA MIAKA 18 NDO ANASIMAMIWA MALI HIZO, SASA WATOTO WA MENGI NI WAKUBWA SO WANA HAKI YA KUCHUKUA MALI ZA BABA YAO.
KWANI HIZO 35% WALIOPEWA URIKUWA URITHI , MAANA MAANA YA URITHI NI MTU KURITHI PROPERTY BAADA YA MZAZI WAKE AMBAE NI MMILIZI KUFA , SASA KWA KIPINDI KILE ALIKUWA YUPO HAI , KWA HIO KWA MAANA HIO HULE HAUKUWA URITHI.
SASA HIZO 37.5% ZA MENGI WANA HAKI YA KURITHI , YANI HAPO WATOTO WA JACK WANAPATA NA WENGINE HAO WAKUBWA WANAPATA NA JACK NAYEYE ATAPATA MAANA HAKUNA MALI YA MKE NA MUME KUCHANGIA 100% SIKU HIZI HAKUNA MALI KAZIKUTA DADA YULE.
 
Katika hiyo 75% iliyobaki,Baba na Mama walikuwa nusu kwa nusu pia.Maana yake ondoa tena nusu ya 75% ya Mkewe Mercy inayobaki sasa ndiyo ya Mzee na hiyo ndiyo anapaswa kusubiri mgao wake na watoto
OK SAWA NIMEKUWELEWA HIZO 37.5 YA MERCY WANAHAKI YA KURITHI HAO WATOTO WA KUBWA WA MENGI. JACK HAPO HANA CHAKE NA WATOTO WAKE COZ HIZO NI ZA MAMA YAO HAO WAKUBWA NA SI YA WATOTO WA JACK.
YEYE ASUBIRI HIZO 37.5% YA 75% ZA BABA NA TENA HAO WATOTO WAKUBWA WANAHAKI YA KURITHI HAWE MPOLE TUU MADAM, ASIPANIC.
HIZO 35% WATOTO WALISHAPEWA HUKO HAUKUWA URITHI. AWE MPOLE TUU.
NA MIMI SIDHANI KAMA HAO WATOTO WA MENGI NA JACK , WATOTO WA MENGI WAKUBWA WATAWASUSA SIDHANI .
 
NAFIKILI JACK ALIKUWA HAJUI HIO, KUHUSU HIZO SHARE.
LABDA HAONGEE PESA HUKO MAHAKAMANI MAANA HII BONGO NAYO.
MBALI NA HAPO HIO NDO HALI HALISI.
 
hyo mahakama inaendeshwa na binadamu Kama wewe.kwani mara ngapi mahakama zimeshindwa kutoa haki?
Ila Mimi binafsi yangu.
Ninavyojua matajiri wengi wanawafanya watoto wao ni wasimamizi wa Mali zao sio WANA HISA.yaani wao wanaendesha kampuni lakini umiliki unabaki kuwa kwa wazazi.
hii baadhi ya watoto una wapa umiliki alafu wanakuja kutokea watoto wako wengine Kama ilivyo kwa mengi utafanya Nini?
Maana hapo watoto wakubwa wanachukua 63%.zinabaki 37.
Kwenye 37 hizo yupo jack na watoto wake 2.na bado hao wakubwa wanataka katika hizo 37.na hapa ndipo naona ule wosia wa mengi kwamba Kama Kuna mtu anataka katika asilimia zake 37 zilizobaki apewe BUKU.ndivyo nilivyoelewa.ila yote kwa yote tuwaachie familia.
Mimi nimemaliza
MKUU , NIKUPE MFANO WEWE MZAZI WAKO HAKIWA YUPO HAI AKAKUPA GARI AU NYUMBA UNAWEZA KUSEMA NI URITHI, ETI........
MAANA YA URITHI NI MTOTO KUPEWA MALI ( PROPERTY) KUTOKA KWA MAZAZI WAKE ALIYEFALIKI. MZAZI WAKO YUPO HAI AKAKUPA GARI HIO SIO URITHI 100%,
KWA SHERIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI YA WAZAZI WAKE YANI YA BABA NA YA MAMA. MAMA NA BABA WAKIFALIKI WATOTO WANACHUKUA HATA KAMA BABA NA MAMA WALISHATEMGANA TANGU SIKU NYINGI.
WATOTO WA MENGI HIZO 35% HAZIKUWA URITHI WALIPEWA KIPINDI WAZAZI WALIPO KUWA HAI. MAMA YAO KASHAFILIKI KWA HIO WAMECHUKUA MALI NA MAMA YAO COZ WANAHAKI HIO , CHANGANYA NA ZA KWAO ZA KUPEWA HIZO UNAPATA NGAPI.
KWA HIO HAPO MENGI ALIKUWA NA HIZO 37% , NI ZA BABA YAO KWA HIO WANAHAKI YA KURITHI.
NDO MAANA MAJAJI WALISEMA KWA HOSIA ULE WANAJIMWA HAKI YA KURITHI MALI ZA BABA YAO.
YANI MIMI NIVYOJUA MIMI HIZO 37% JACK YEYE HAWEZI PATA SAWA NA WATOTO, COZ HANA USHAHIDI WA KUSEMA ALICHANGIA SEHEMU FLANI YA MALI LABSA UWEPO KWA SEHEMU YA MALI MAANA HAKUNA MME NA MKE PASU KWA PASU , YANI HAPO WATOTO WAKUBWA WA MENGI NA WATOTO WA JACK WATAPEWA SAWASAWA , ILA JACK ATAPEWA KASEHEMU TUU COZ ALIKUWA NI MKE .
Nyamizi
 
sasa ana nini kilichomfanya apate pesa zaidi ya sehemu za siri? nini kingine anaweza kuweka mezani zaidi ya hizo? asingezaliwa nazo angekuwa uganda huko anauza matoki barabarani.
Umesema nyuchi haziwapi chochote

Wasio na akili ni hawa slay wetu, wengine wanayatendea haki maungo yao na wana-make mkwanja
 
Hizo stori tu kuna mama mmja mjini
Hapa tena mama wa mjini haswa
Anamiliki saloon,spa moja na sahv yuko masaki akikuambia mission ilivyokuwa,kweli utasema kuna watu
Mafia wanajua kumpekecha mtu [emoji1]
Sema Acha tumezeee
Jack classmate wangu forodhan primary school bana
Haitopendeza watu wakimwaga mchele hadharani

Ova

Forodhani primary school umemaliza mwaka gani?
 
Kama Mzee Mrema au? Fafanua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenijibia, wazee wenyewe wanawataka mabinti sasa watu wanataka kuwapangia, wakiwa vifuani huko ndiyo hutoa ahadi zote hizo ha ha ha ha ngoja nimsadie mtu kutizama mpira[emoji3]
 
Back
Top Bottom