miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Amani is gone. Gone forever[emoji26][emoji26] amani amefariki jamani. NiliumiaaAman the connector hivi yuko wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani is gone. Gone forever[emoji26][emoji26] amani amefariki jamani. NiliumiaaAman the connector hivi yuko wapi ?
Na ndiyo wameaminiwa kutoa haki,hakuna kitu utafanya kwa sasa.Mshaurini ndugu yenu atulie asubirie haki yake.Ni kweli ila usisahau kuwa majaji ni binadamu Kama wewe.
25% haipo kwenye orodha ya urithi, kwanza pengine hata wasingezitaka hizo shares za baba yao, au wangechukua kidogo tu ili ku secure zaidi share zao na kuwaachia zingine zote wadogo zao, ila dawa ya kiburi jeuri, Jacky akaamua kwenda kuwashtaki mahakamani na ule wosia wake fake, hapo hata kama ni mimi yani sikuachii kitu, hata kama nilitaka kukufanyia favor flani kwa huruma ya watoto nitacancel, nitakubadilikia na kukushukia kama mwewe, kama alikua na nia nzuri Jacky angewaomba kifanyike kikao cha familia, wazungumze waelewane, ila pia angehitaji kutulia kwanza mambo yapoe, ila yeye alianza vimbwanga kabla haya mzee hajazikwa, ukiunganisha na utata wa kifo cha mzee, basi wamachame wote walikua wanahasira nae, angetafta wazee kwenye ukoo wa mengi wagulize hali, then wakae chini wazungumze, wala hata siri za hiyo familia zisingetoka nnje kwenye mitandao, ila sasa hivi kila mtu anafatilia, ameharibu kwa tamaa zake, apambane tu na hali yake.Sasa bhasi hizo Asilimi 37.5% ilibidi jack agawane nusu kwa nusu na watoto wa mengi alafu yeye asimamie hisa za wanae.. Sema pia hao watoto wa Mengi ni walafii sanaaa kama walishapata za Mama yao ambazo kimsingi katafuta baba yao why wawe warohoo wakutaka na hizo zilizobaki kwa baba yao wakati baba yao alishawapa Urithi wa zile percent 25??? Ulafi ulafii tuu
Walizingua sana. Tusingezika kwanza. Tungekiwasha weree halaf ndo mzigo unashushwaNi kweli busara za JK na Mama Salma ndio zilifanya huyo slay Queen hasiende Segerea
MKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.Kabla mke mkubwa hajadedi walikuwa wanamiliki 100% na mmewe. Mambo yalipoenda mrama wakaamua kugawana. Watoto wakapewa 25% ya shea. Zilizobaki wakagawana. wazazi. Enzi hizi Jakie hata hajawahi kuonwa
Mengi alibakina na 37.5 so hizo ndo Jack azipambaniee ila hizo zinginee hawezi pata hata 100MKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.
KAMA HIZO KAMA HIZO 25% WALISHAPEWA WATOTO TANGU HATA YA JACK KUINGIA KATIKA HIZO 25% JACK HAPO HANA KWA HIO ZIMEBAKI 75% HIZO NDIZO ZINAZOGOMBANIWA.
TENA HATA WATOTO WA JACK HAPO HAWAWEZI PATA COZ WALISHAPEWA HATA WATOTO HAWAJAZALIWA.
MKUU KAMA WALIPEWA NA USHAHIDI UPO HIZO NI ZA KWAO TAYARI HAPO HAKUNA KIPINGAMIZI.Mimi ninavyojua wazazi wakitengana.wanagawana wao kwa wao wazazi.haya mpaka watoto wanapewa mganyo mapya.
Sijawahi kuona watoto wakipewa Mali wakati wazazi wao wametengana.
Kwa hyo kujaza wino kwenye peni ndo wamepewa 25% ?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mimi nipo upande wa wosia WA BUKU BUKU.
😬😬 KUMBE BRO.Mengi alibakina na 37.5 so hizo ndo Jack azipambaniee ila hizo zinginee hawezi pata hata 100
Tusaidie ndugu kumwelewesha,maana ameshupaza shingo mpaka tukaachana naeMKUU KAMA WALIPEWA NA USHAHIDI UPO HIZO NI ZA KWAO TAYARI HAPO HAKUNA KIPINGAMIZI.
MFANO KAMA KAMA BABA NA MAMA WALIJENGA NYUMBA 3 NA WAKAPATA MTOTO 1, WALIPOACHANA WAZAZI WAKAGAWANA NYUMBA MOJA MOJA , NA YA MWISHO WAKAMPA MTOTO WAO 1.
LAKINI BABA AKAOA MWANAMKE MWINGINE NA KUCHUMA MALI FLANI. LAKINI
BABA AKAFALIKI ,
SASA UNATAKA KUNIAMBIA MKE WA PILI WA HUYO BABA ANAWEZA AKADAI NYUMBA YA HUYO MTOTO WALIOPEWA NA MAMA NA BABA YAKE BAADA YA KUACHANA?
MKUU KAMA WATOTO WA MENGI WALIPEWA KABLA YA BABA YAO KUFA , KWANI WALIPOPEWA HAO WAKUBWA ILIKUWA NI URITHI?Kumbe uenda tuna muhukumu jack bure.kumbe wale watoto Wana 25% kibindoni tena sio za urithi.
Bado 37.5% za mama yao.
Ndo maana mzee mengi akaandika wapewe BUKU BUKU.
kea sababu hawa watoto wa mengi wawili wakubwa watawazidi wenzao.
Ndo maana mengi akaamua 37.5% za kwake warithi wale mapacha wake.
Katika hiyo 75% iliyobaki,Baba na Mama walikuwa nusu kwa nusu pia.Maana yake ondoa tena nusu ya 75% ya Mkewe Mercy inayobaki sasa ndiyo ya Mzee na hiyo ndiyo anapaswa kusubiri mgao wake na watoto wakeMKUU MIMI NINAVYOJUA KWA SHERIA YA TANZANIA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA MZAZI WAKE.
KAMA HIZO KAMA HIZO 25% WALISHAPEWA WATOTO TANGU HATA YA JACK KUINGIA KATIKA HIZO 25% JACK HAPO HANA KWA HIO ZIMEBAKI 75% HIZO NDIZO ZINAZOGOMBANIWA.
TENA HATA WATOTO WA JACK HAPO HAWAWEZI PATA COZ WALISHAPEWA HATA WATOTO HAWAJAZALIWA.
OK MKUU SHERIA YA TANZANIA INASEMA KILA MTOTO ANAHAKI YA KURITHI MALI ZA WAZAZI WAKE HATA WA NJE ILA AWE ANATAMBULIKA , NA WATOTO WA MENGI WANATAMBULIKA, NA SERIA INASEMA, MTOTO AKIWA CHINI YA UMRI WA MIAKA 18 NDO ANASIMAMIWA MALI HIZO, SASA WATOTO WA MENGI NI WAKUBWA SO WANA HAKI YA KUCHUKUA MALI ZA BABA YAO.Tusaidie ndugu kumwelewesha,maana ameshupaza shingo mpaka tukaachana nae
OK SAWA NIMEKUWELEWA HIZO 37.5 YA MERCY WANAHAKI YA KURITHI HAO WATOTO WA KUBWA WA MENGI. JACK HAPO HANA CHAKE NA WATOTO WAKE COZ HIZO NI ZA MAMA YAO HAO WAKUBWA NA SI YA WATOTO WA JACK.Katika hiyo 75% iliyobaki,Baba na Mama walikuwa nusu kwa nusu pia.Maana yake ondoa tena nusu ya 75% ya Mkewe Mercy inayobaki sasa ndiyo ya Mzee na hiyo ndiyo anapaswa kusubiri mgao wake na watoto
Bahati mbaya sana kwake keshashindwa kwenye Mahakama ya Rufani,nadhani ndiyo Mahakama ya juu kabisa na ya mwish9 ya kutoa hakiNAFIKILI JACK ALIKUWA HAJUI HIO, KUHUSU HIZO SHARE.
LABDA HAONGEE PESA HUKO MAHAKAMANI MAANA HII BONGO NAYO.
MBALI NA HAPO HIO NDO HALI HALISI.
Wanamdanganya hao watu na kumlia hela. Hii kitu ataendelea "kudondokea pua" mali ya kuvua chupi atapata ila kama anataka zaidi ya anachostahili hatapata.Huyo Klyn Ana watu nyuma, sio mchezo msimchukulie poa.
MKUU , NIKUPE MFANO WEWE MZAZI WAKO HAKIWA YUPO HAI AKAKUPA GARI AU NYUMBA UNAWEZA KUSEMA NI URITHI, ETI........hyo mahakama inaendeshwa na binadamu Kama wewe.kwani mara ngapi mahakama zimeshindwa kutoa haki?
Ila Mimi binafsi yangu.
Ninavyojua matajiri wengi wanawafanya watoto wao ni wasimamizi wa Mali zao sio WANA HISA.yaani wao wanaendesha kampuni lakini umiliki unabaki kuwa kwa wazazi.
hii baadhi ya watoto una wapa umiliki alafu wanakuja kutokea watoto wako wengine Kama ilivyo kwa mengi utafanya Nini?
Maana hapo watoto wakubwa wanachukua 63%.zinabaki 37.
Kwenye 37 hizo yupo jack na watoto wake 2.na bado hao wakubwa wanataka katika hizo 37.na hapa ndipo naona ule wosia wa mengi kwamba Kama Kuna mtu anataka katika asilimia zake 37 zilizobaki apewe BUKU.ndivyo nilivyoelewa.ila yote kwa yote tuwaachie familia.
Mimi nimemaliza
Umesema nyuchi haziwapi chochotesasa ana nini kilichomfanya apate pesa zaidi ya sehemu za siri? nini kingine anaweza kuweka mezani zaidi ya hizo? asingezaliwa nazo angekuwa uganda huko anauza matoki barabarani.
Hizo stori tu kuna mama mmja mjini
Hapa tena mama wa mjini haswa
Anamiliki saloon,spa moja na sahv yuko masaki akikuambia mission ilivyokuwa,kweli utasema kuna watu
Mafia wanajua kumpekecha mtu [emoji1]
Sema Acha tumezeee
Jack classmate wangu forodhan primary school bana
Haitopendeza watu wakimwaga mchele hadharani
Ova
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenijibia, wazee wenyewe wanawataka mabinti sasa watu wanataka kuwapangia, wakiwa vifuani huko ndiyo hutoa ahadi zote hizo ha ha ha ha ngoja nimsadie mtu kutizama mpira[emoji3]Kama Mzee Mrema au? Fafanua.