Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Ikitokea akarithishwa mali, kisha akaolewa na mtu mwingine hapo inakuwaje?
 
Wato



Watoto walikua IST international school of Tanganyika kawatoa kyln kaenda kudanga nao , company ilikua inalipa

View attachment 1973337
Huyu dada ni janga... kuna kitu anakitafuta atakipata..

Mzee Mengi alikuwa ni public figure asifikiri hii kesi ni kati yake na wanafamilia wa Mzee tu atakuwa kanoa...tupo kibao saaana atachoka mbona.
 
Mengi kila kitu kilikuwa sawa ila ushetani ukamuingia mwishoni akataka dogodogo ndo matokeo yake! Ila kuandaa warithi amefanya tena kisawasawa kielimu na kuwashirikisha kwenye kuendesha biashara zake.
 
MCHAGA HADHULUMIWI HAKI YAKE HUYO DADA ANAPOTEZA MUDA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…