Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Ewaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano mkubwa Mengi aliona tamaa ya huyu akaamua mchezea mchezo kwenye wosia

Sent using Jamii Forums mobile app

I said the same,tena akamkubalia kabisa alete “Wanasheria wake” nnje ya wale wanaotambulika siku zote! Na naona point ya Mzee kuwa “endapo watapinga wosia na kushinda.....” He knew kabisa The family will do the same!
 
I said the same,tena akamkubalia kabisa alete “Wanasheria wake” nnje ya wale wanaotambulika siku zote! Na naona point ya Mzee kuwa “endapo watapinga wosia na kushinda.....” He knew kabisa The family will do the same!
The player played the player[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo Foundation ya kina Jack ni tofauti na hii nyingine! Inayoongelewq hapa ni Foundation ya FAMILIA “Dr REGINALD MENGI FAMILY FOUNDATION” ile anayotangaza Jack ni ya Mzee binafsi ile ya kusaidia walemavu!
 
Hiyo Foundation ya kina Jack ni tofauti na hii nyingine! Inayoongelewq hapa ni Foundation ya FAMILIA “Dr REGINALD MENGI FAMILY FOUNDATION” ile anayotangaza Jack ni ya Mzee binafsi ile ya kusaidia walemavu!
Ooh, asante kwa kunielewesha.
Soo hapa najifunza jambo, jacky ile foundation yake ya dk ntuyabalier bado ipo ama ndo amebadili jina to reginald mengi foundation?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh, asante kwa kunielewesha.
Soo hapa najifunza jambo, jacky ile foundation yake ya dk ntuyabalier bado ipo ama ndo amebadili jina to reginald mengi foundation?



Sent using Jamii Forums mobile app

Ziko mbili,ile ya kwake kwa jina la Baba yake na hii ya Mzee Mengi ambayo ilikuwepo siku zote ile ya kula na Walemavu! Naona Bubie kwa sasa amekazania hii ya Jina la Mengi,ile ya jina la Baba yake kaitelekeza! Ujue shida ni Funds! Kumbuka ya Baba yake alikuwa anapitia kwa Mgongo wa Mzee Mengi,ataiendesha vipi kwa sasa? Inabidi akomae na hii ya jina la Mzee Mengi tu
 
Exactly. Nimeshangaa recently anaipost sana.
Kwani imekuaje yeye ndo anaiendesha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesahau kampuni ya furniture ya jack amorrete iko ndani ya IPP, Jack ana share zake binafsi ndani ya IPP kupitia hiyo kampuni yake! so jack haingii ipp kama mke wa mengi, anaingia kupitia kampuni yake ! na Mengi alikuwa na makampuni mengine nje ya IPP aliyoyafungua baada ya kutengana na mkewe, na alikuwa anayasimamia mengi mwenyewe na jack!
 


Family Trust na Foundation ni vitu viwili tofauti yule kyln na dada yake wapo kwenye Dr. Mengi Foundation

Family trust uwa inawekwa na families kwa ajili ya Protection ya selected assets zao against claims and creditors –kwa kua mali zipo under family Trust hakuna mtu anaeweza Kuclaim wagawane kwa divorce au madeni hawezi fanikisha

Kumbuka Hapo assets zao ziliwekwa kwenye familia ya Mama Mercy Mengi na Reginald Mengi

Mali zao zitaenda kwa vizazi na vizazi
 
ukiacha IPP, makampuni mengine ya mengi amemuachia jack na watoto wake! na mpaka sasa financial statement zake anaezijua ni jack, na share zote za hayo makampuni wameachiwa mapacha!
 
Na ilivyotoka hukumu hakurudi tena kwa Millard kutupa mrejesho wa Hukumu! Wenzie wanapigana hii vita kisomi zaidi na wakiwa kimya,yeye anakimbilia kwa Millard! Elimu ni kitu muhimu sana maishani
umesahau kesi ya msingi imefunguliwa na watoto wakubwa wa mengi akina regina kupinga ndugu za mengi kuwa wasimamizi wa urithi, kesi inaendelea kati ya watoto wakubwa na ndugu zake mengi,
 
Asante kwa maelezo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jacky cha moto atakiona ila in the end atapata tu haki yake kama mjane, wala tusijifariji kwa porojo za hapa na pale , Mali atazipata Ila cha mtemakuni nacho atakiona.

Inshort jacky sio mwenzentu kashaingia kwenye familia ya kitajiri so lazima maji yafuate mkondo, sio mwenzetu yule, hizi mambo ya kesi kawaida tu , ila she ain’t the same


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…