miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
EwaaaMimi nilivyoona ile interview ya M.Ayyo nikajua huyu dada kashakosea, anaongea vitu bila ushahidi wowote zaidi ya kusema Mengi alisema.
Mengi alimwambia ameshawagaia watoto wakubwa urithi kwa mama yao. Ushahidi upo wapi? Alikuachia documents?
Mengi alisema akifa azikwe kwenye nyumba yake Moshi, Ushahidi upo wapi?
Mengi alikuwa tajiri, na mtu mwenye akili alikuwa ana uwezo wa kumrithisha Jack akiwa hai kwa documents au kwa njia nyingi tu, na sio kile kikaratasi eti Will.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app